Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa FIFA 2017 pamoja na kuchaguliwa kwenye kikosi bora cha wanaume dunia FIFPRO XI 2017
Simulizi zaidi Ronaldo ikichukua tuzoo
Please...
Huu ni uzi wako wewe mwanamichezo. Mambo yote yanayotokea kuelekea Mtanange wa kukata na shoka wa Kariakoo Derby utayapata hapa!
Taarifa zote za kambi, maandalizi ya mchezo, fitna na vituko kabla...
Haya weee,niseme nini mie! Imetokea hivyo tena utafanyaje bana.Meseyside kapigwa nne na Goodson park mtu kala mkono.Kazi imekuwa ngumu safari hii.Hao Manchester angalau hata kama mmoja alipigwa na...
Huyu jamaa ni fundi wa mpira sana, ana ujuzi wote wa kucheza namba 10 yaani nyuma ya Straika. Ana piga pasi za mwisho, mwepesi, ananyumbulika na ni mtulivu hana papara na pia anarekodi nzuri ya...
Baada ya Stand United na Simba kuvaa jezi zinazolalamikiwa kufanana wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa jana Jumapili, October 1, 2017 kwenye uwanja wa Kambarage...
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe, amerejea nchini na kuvunja ukimya akianza na suala la nafasi ya Kocha Mkuu wa Simba inayoshikiliwa na raia wa Cameron, Joseph...
Simba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa.
Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja.
Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba...
Nilifuatilia mechi ya jana Simba dhidi ya Mtibwa na ninawashauri Klabu ya Simba kama ifuatavyo:- Licha ya kucheza vizuri lakini bado kuna tatizo na mlinda mlango. Manula siyo maakini hata kidogo...
Kocha msaidizi wa Simba Mganda Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa ambazo zinasambaa nchini na kudai kuwa si za kweli kwani hana taarifa yoyote rasmi kutoka kwa uongozi.
Mayanja...
Match Reports
13:30 FT 1 Everton 2 : 5 Arsenal
16:00 FT Tottenham 4 : 1 Liverpool
11:00 FT Villarreal 4 : 0 Las Palmas
15:15 FT Celta Vigo 0 : 1 Atletico Madrid
17:30 FT Leganes 1 : 0 Athletic...
ENGLAND: Uongozi wa klabu ya soka ya Leicester City umemfukuza kazi kocha wa timu hiyo, Craig Shakespeare.
Craig Shakespeare emefungashiwa virago ikiwa ni miezi 4 tangu aliposaini mkataba wa...
Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
Klabu ya Al Ahly imeifurumusha mabao 6-2 klabu ya Etoil du sahel katika nusu fainali na hivyo kutinga fainali ya klabu bingwa Afrika.
Hivyo hivyo klabu ya wydad Casablanca iliifurumusha klabu ya...
Nimajibu ya mmoja wa washindi wa BIKO niliyopata kwa JINA namuifadhi, kwamba ili ushinde unabidi ucheze kwa kiasi kikubwa , yeye alikuwa anacheza mpaka millioni 4 kwanzia Jumapili hadi Jumatano...
Inatokea mara chache sana katika maisha ya mwanadamu, Kiungo mkabaji wa Juventus na timu ya taifa ya Ujerumani, Sami Khedira leo ametupia magoli matatu ( hat trick ) wakati Juventus ikiua 6-2.
Ni...
Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?
Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo nyasi za uwanja wa Kambarage utazipokea timu za Stand na Yanga.
----
DAKIKA 4 ZA NYONGEZA
Dk 90, Stand wanapata mpira nje ya eneo la 18, mpigaji anapaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.