Mzuqa wanajf!
Kuna kakiburi flani kimewaingia wachezaji wa citee. Yani kufunga funga magoli mengi hivi karibuni hawa wachezaji wamekuwa Na nyodo Na ngebe. Hasa haka kabelgiji Kevin de Brueyne...
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za...
Ni mtizamo tu,nimefuatilia kila anapohuzuria jambo lolote uwanjani huwa anava suti,sasa je ofisin suti na uwanjani suti hata kupiga Jezi ya timu ya taifa anashindwa,na Mpira alicheza kweli enzi za...
Tajiri kijana barani Afrika, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania...
Kabla mechi ya Yanga na Kagera haijapigwa kule Kaitaba Jumamosi iliyopita,mmoja wa mabeki anayesifika kwa kukaba mpaka kivuli na ki'ukauzu kabisa Juma Saidi Nyoso alijinasibu kuwadhibiti...
ENGLAND: Mmiliki wa Klabu ya soka Newcastle United, Mike Ashley atangaza kuiuza timu hiyo.
Asema uamuzi huo ni kwa maslahi ya wengi
=====
Premier League club Newcastle United have been put up...
sio mbenzi nguli wa soka hasa la hapa kwetu...
miaka ya zamani ilikuwa ni ndoto kuona mzungu akifundisha hadi timu za shinyanga au singida.
Kwa maendeleo ya soka na utandawazi hawa jamaa wapo...
Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vipya vya soka Duniani vilivyotolewa leo na FIFA.
Viwango hivyo vya ubora kwa timu za Kiume za taifa...
Kesho tarehe 15/10/2017 ni siku ya Uchaguzi wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira sa Miguu Tanzania (TFF). Katika hali ambayo imewashtua wadau wengi wa Mpira wa Miguu, Rais wa TFF, bwana WALLACE...
Taarifa zinaeleza kuwa Mfanyabiashara Yusuph Manji amesitisha safari ya Yanga kuelekea Kagera kwa njia ya basi, sasa wataondoka na ndege kesho.
Yanga itasafiri mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa...
Kwa matukio yaliyofanywa na TFF Malinzi & Mwesigwa kuangalia upande wa asili (nyumbani) umeanza kuzaa matunda ya wazi sasa
Pointi tatu walizomnyima Simba kwa kupindisha ukweli hautawaacha salama...
Kiungo aliyesajiliwa kwa mbwembwe na klabu ya simba fadhil Hakizimana Niyonzima katika hali ya kushangaza alivyokuwa anahojiwa mubashara aliwaita mashabiki wa simba wapumbavu ,na kusema mashabiki...
Nimekuwa nikiona mchoro wa picha ya ndala pale timu ya Dar es Salaam Youngs Africa inapoandikwa katika magezeti kama alama ya uwakilishi wa timu hiyo.
Kama mpenzi wa klabu ya Yanga na soka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.