Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

FC Barcelona imeamua kumbakiza kundini mshambuliaji wake nyota, Lionel Messi. Ili kumbakiza, FC Barcelona imeamua kutoa kitita cha pauni milioni 80 (zaidi ya Sh bilioni 234.6) kumlipa Messi kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mchezaji gani TZ ambae tunaweza kumpa hadhi ya u legend yaani gwiji Unaweza mtaja hata kama amefariki Ukimtaja unataja na mambo aliyolifanyia soka letu Nawasilisha
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Yanga inatarajiwa kuondoka kesho kwa ndege kwenda mkoani Kagera wakipitia Mwanza kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera. Yanga inaondoka ikiwa inawaacha jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The celebrations of World Cup qualification will last long into Wednesday in Panama after the president declared a national holiday Panama's president has declared Wednesday a national holiday...
1 Reactions
8 Replies
858 Views
Msingi wa mfumo wake ni nini? Mfumo wa 'UEFA Nations League' utahusisha kupanda na kushuka kwa timu hizo. Timu 55 za taifa za Ulaya zimegawanywa kwenye ligi nne kulingana na msimamo wa timu bora...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni siku muhimu katika maisha yao ya kisoka. Siku ya kuzipambania timu zao za taifa ziweze kufuzu Kombe la Dunia la mwakani huko Urusi. Ni siku za wao kuudhihirishia ulimwengu wa soka kuwa wanaweza...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
NIGERIA Ikicheza mbele ya mashabiki wake wengi Nigeria imewachapa Zambia Chipolopolo goli 1 kwa 0 likifungwa na Alex Iwobi dakika za lala salama kipindi cha pili. La kufurahisha kwamba Nigeria...
6 Reactions
98 Replies
13K Views
Kama mnavyofahamu katika mechi tatu za hivi karibuni Simba imeifunga Yanga mara zote tatu, mara mbili Yanga ikifungwa goli 5 na mara moja ikifungwa 2 kwa 1. Kwa hiyo Simba SC mmeshapigia Yanga...
8 Reactions
38 Replies
9K Views
Mwandishi wa kituo cha ITV mkoa wa Lindi,Fatuma Maumba, amekabidhi jezi yenye jina la mchezaji wa Timu ya Yanga Donald Ngoma kwa mtoto Juma Bakari,mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Imepita misimu mitano tangu Simba itwae taji la VPL kwa mara ya mwisho. Klabu hiyo ilitangaza ubingwa wake wa ligi kwa mara ya mwisho mwanzoni mwa mwezi May 2012 msimu wa 2011/2012 baada ya...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
1 Reactions
28 Replies
19K Views
Saa 8:30 usiku wa kuamkia leo,Mjini Quito Ecuador,wenyeji Ecuador waliingia dimbani kumenyana na makamu bingwa wa dunia Argentina. Pambano la mwisho kufuzu au la kombe la dunia. Argentina ya Messi...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahodha Lionel Messi ana kazi ngumu kuivusha Argentina katika fainali hizo katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ecuador itakapokuwa ugenini mjini Quito. Endapo Argentina itashindwa kukata tiketi...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Yanga inaondoka kesho asubuhi kwenda Bukoba tayari kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika Jumamosi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Yanga, Dismas Ten alisema wachezaji wote wako...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ikiwa imebaki mechi moja tu kabla ya kosi hatari la Mnyama Simba kukutana na Yanga,napenda kumkumbusha yule muuza mitumba shabiki wa Yanga anayeitwa Kanjunju kuwa asijaribu tena kubet dhidi ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Taarifa njema kwa wapenzi Wa yanga, mshambuliaji wao wa kutegemewa Amisi Tambwe yupo fiti katika kuikabili kagera hapo juma mosi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na goti. Ngoma bado...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuonyesha kwamba hawajawaachia tu Wadau wakuu wa Elimu nchini Tanzania ambao ni Waziri husika wa Elimu, Walimu wote wa Somo la Kiingereza nchini Tanzania pamoja na Mwalimu anayekuja kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Polisi nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai kuwa walivamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda Alex N'gonga. Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng'onga. alikosa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa klabu ya Stoke ya Uingereza Peter Crouch, ameingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness World Records cha mwaka 2018 kwa kufunga mabao mengi zaidi kwa kichwa Ligi ya...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman masaa machache yaliyobakia Huenda dunia ikabak Na mshangao Mkubwa kama co kuduwaa Wakat huu wasyria wakiwa wamefunga Na kuiombea tim yao ushind or draw Dhid ya Australia mchezo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom