Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo mida ya saa 3:45 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu tajwa hapo juu, Je ni nani ataibuka mshindi siku ya leo?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 500k (laki 5) kutokana na timu kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom dhidi ya Mbao FC iliyochezwa September 21 2017.
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni program gani naweza kudownload nikapata match live
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18. Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama mjuavyo Anfield ni uwanja mgumu sana kwa Man Utd, Meneja wa Man Utd Jose Mourinho anawakosa wachezaji muhimu kama Pogba na Fellaini lwenye idara ya kiungo. Hivyo namuona Jose kesho...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Alianza Zito, akaja tundu lisu, sasa makonda. Huo mkataba una nini?? Tunaomba uwekwe wazi kwanza kabla ya kupitishwa ==================== Makonda atoa ya moyoni kuhusu Yanga, aihusisha Yanga...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
1. Afrika yenye mataifa wanachama wa FIFA 53 ina nafasi 5 kwenye kombe la dunia. Hadi sasa,timu mbili za Misri na Nigeria zimeshafuzu. Bado zasubiriwa tatu. 2. Asia yenye timu wanachama wa FIFA...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Taifa la Qatar bado linaandamwa na kesi ya rushwa, Qatar wanadaiwa kwamba walitoa rushwa ili wapewe nafasi ya kuandaa michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2022 suala ambalo liliwaandama sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuelekea mechi za Ligi weekend hii.. (WakuBet).. Liv'pool vs ManUtd -Mafahari wakubwa wawili wa Malkia., kimsingi mechi itakuwa ngumu kama ukubwa wa timu zao zilivyo.., Liverpool hawana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huko Kaitaba-Kagera vp? Vyura Fc bado hawajanyukwa?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Daktari wa timu ya soka ya Simba Sports Club, yassin gembe amempa wiki moja zaidi beki wa timu ya Simba, Shomari kapombe kabla ya kurudi rasmi uwanjani, kuitumikia timu yake, mchezaji huyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nmewaza tu baada ya kumwona mwanadada mmoja akisakata kabumbu ile mbaya na kuonesha uwezo mkubwa wa kupigwa mikwaju na kutikisa nyavu. Nikajiuliza kwa nini kuna ubaguzi katika soka?katika...
0 Reactions
4 Replies
870 Views
Tarehe ya leo Simba alimfunga 2 - 1 Yanga na mashabiki wa simba wakang'oa viti, baada ya kuona na kuhisi mwaamuzi, anafanya Upendeleo kwa yanga, magoli ya simba siku hiyo yalifungwa na Laudit...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ni kuwataarifu wanaume wote duniani ya kwamba imebakia takribani miezi Tisa(9) kabla ya kuanza kombe LA dunia huko Urusi,hivyo basi chondechonde ukijichanganya ukampa mkeo/mchepuko mimba sisi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Saivi story ya dunia katika nyanja ya michezo ni messi, Everyone anamuongelea Messi,yani imekuwa kero sasa kumsikia huyo messi. Katika vitu ambavyo wengi wanakisahau ni kuwa hakuna team kutoka...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Idd Selemani "Nyigu", Godwin Aswile "Scania", Madaraka Selemani "Mzee wa kiminyio "", Salum Kabunda "Ninja", Zamoyoni Mogella "Golden Boy", Malota Soma "Ball Juggle ", Said Mwamba "Kizota "...
6 Reactions
34 Replies
7K Views
Straika wa Colombia Radamel Falcao amekiri kwamba alifanya mazungumzo na kiungo wa Peru, Renato Tapia kwamba matokeo ya sare baina ya mataifa hayo mawili yatawavusha wote kwenda kucheza Kombe la...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Goal Ibarra 1'm Ecuador 1 Argentina 0 (Ordonez Ayavi R.J) Ibarra 1min. Goal Messi 12'm Ecuador 1 Argentina 1 Goal Messi 20'm Ecuador 1 Argentina 2 Halftime Ecuador 1 Argentina 2 Second...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais wa FIFA Gianni Infantino ameeleza kitu ambacho nyota wa Argentina Lionel Messi anatakiwa kufanya ili awe mchezaji bora wa muda wote katika historia ya soka. Akiongea na gazeti la The Nation...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom