Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Decision Making Decision making is an area where goalkeepers must excel. Unlike playing in any other position where mistakes can be rectified, being a goalkeeper comes with the knowledge that a...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mpira wa miguu ni mchezo wenye mashabiki wengi mno ktk dunia hii. Football hugusa hisia za mashabiki kwa kiwango cha juu mno. Utani baina ya mashabiki ndiyo chachu ya utamu wa mpira wa miguu...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa 'Taifa Stars', Mohamed Hussein 'Mmachinga', ameiponda Taifa Stars kutokana na mfumo na mbinu zinazotumiwa na kocha Salum Mayanga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Peter crouch aingiya record ya dunia magol ya vichwa
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiungo wa timu ya daraja la kwanza nchini Scotland ya Inverness, Liam Polworth ametoa kali ya mwaka baada ya kumshindilia kocha wake ngumi wakati wakiwa katika mechi. Kocha Scott Kellacher...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je mtu anayeanza mazoezi ya push up maumivu ya masosi za mikono yanaisha baada ya muda gani au ni endelevu?
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Mchezaji wa kimataifa mwangalia Simon Msuva leo hii ameinusuru TZ kupata aibu mbele ya Mgeni rasmi muheshimiwa Mwakyembe. Hongera sana Msuva kaza uzi but wanayanga tunakukumbuka sana hasa cross...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamv Mechi ya Yanga na KMC ni saa ngap wadau???
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Ukiwa unabet kubaliana na haya: 1. Kuwa mwizi 2. Mawazo 3. Kuchelewa kulala 4. Kuzichukia team 5. Matusi 6. Ugomvi 7. Kutokwa jasho. 8. Hasira 9. Unavyoliwa zaidi ndiyo unabet zaid 10...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu wapenda michezo imekua shida kubwa kupata updates za matokea na kila kinachoendelea ligi daraja la kwanza. Najua wengi wanapenda kujua vitimbwi vya ligi hii ambayo huwa imejawa vituko na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Man U kwa muendelezo wa matokea mazuri hiyo inachagizwa na kocha bora na mwenye mafanikio makubwa katika tasnia ya soka.Sikuwahi fikiria kama kuna siku ningeweza...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo Taifa Stars wapo uwanjani mechi ya kirafiki na Malawi. Wamevaa jezi nyeupe na strip ya blue lakini sehemu kubwa ni nyeupe. Japo sio lazima sana, nchi nyingi huchukua rangi kwenye bendera ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Nyota wa Soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameamua kuuza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or aliyoshinda mwaka 2013 ili kutoa msaada...
15 Reactions
70 Replies
8K Views
Kwa ufupi Simba ipo katika harakati za kubadilisha ummiliki wa timu hiyo na kuendeshwa kwa mtindo wa kampuni By Eliya Solomon,Oliver Albert Dar es Salaam. Kamati ya kusimamia mchakato wa zabuni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wahenga wa mpira wa miguu lazima watakua wanamjua huyu fundi wa mpira wa miguu mzaliwa wa Brazil mwenye Uraia na Hispania na pia Akichezea timu ya taifa ya Hispania ila michezo michache...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Katika usajili walioufanya Simba pasi na shaka usajili wa Niyonzima walikurupuka. Simba haikuwa na tatizo na kiungo na idara ambayo Simba ilikuwa vizuri mno basi ni idara ya kiungo ndio maana...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Mchezo wa jana kati ya wanaume na wanaolijua soka DEPORTIVO LA CORUNA na timu kubwa ya Brazil CORINTHIANS, imenyukwa mabao saba kwa sifuri. Kama mnakumbuka 2014 wababe wa dunia GERMANY MASHINE...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Back
Top Bottom