Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo ni mechi moja tu pale uwanja wa kambarage shinyanga ni Stand United watamkaribisha mnyama mbali Simba SC Je leo mnyama atakaa kileleni tuwe pamoja
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Yanga sc vs Mtibwa sugar Singida Utd vs azam fc Mbao fc vs Tanzania prison Mwadui vs Mbeya city Ndanda fc vs Lipuli Ruvu shooting vs Njombe mji Maji Maji vs kagera sugar Tutakuwa pamoja...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Hii ligi ya Belgium ina tofaut na bongo kweli?[emoji1] [emoji1]
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mshambuliaji wa ManCity Sergio Aguero ajeruhiwa katika ajali Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amejeruhiwa katika ajali ya barabarani mjini Amsterdam, saa chache baada ya kuhudhuria...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Vinara wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar imepania kuiduwaza Yanga kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mtibwa inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 10, sawa na Azam wakitofautiana mabao ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake Dismass Ten imefunguka na kuomba msaada kwa wadau mbalimbali wa soka nchini kuwasaidia vifusi vya mchanga ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
KOCHA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, George Lwandamina, amesema kuwa mechi dhidi ya Mtibwa Sugar itakayofanyika kesho kwenye Uwanja wa Uhuru "si ndogo" kama ambavyo baadhi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kitendo cha mchezaji Obren Chirwa kumtandika ngumi za mwana ukome mwandishi mbeya mbeya iwe funzo kwa waandishi wengine. Jamani waandishi hata kama umbeya not to that extent mtakuja kuumia bure...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imemtimua Kocha wake Carlo Ancelotti raia wa Italia kufuatia mwenendo mbaya wa hivi karibuni wa klabu hiyo. Kocha huyo wa mabingwa watetezi wa Bundesliga...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Wekundu wa msimbazi wakiwa kwa mama ntilie hiyo ni baada ya kucheza meach yao ya ndondo na Mirambo ya Tabora. Jamani njaa hizi mbaya mwisho wa siku wakiwa full mziki chini ya kiungo wao maridadi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Napata shida kuelewa kwa nini mchezaji ajiite jina la mchezaji mwingine.Kwa nini na wewe usitengeneze jina lako kama unajiami.Mfano Muhamed Hussein aka Tshabalala akiuzwa South bado atajiita hivyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na wahariri wa habari za michezo nchini kimelaani kitendo cha kushambuliwa kwa mwanahabari John Dande, zinazodaiwa kufanywa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe jana September 28,2017 alitembelea uwanja wa taifa kufanya ukaguzi wa kiwanja mabacho kilikuwa kinafanyiwa matengenezo na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hapa kuna Kifurushi cha sh 15000 cha azamtv , chanel itaonyesha hii game?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi, iliyoketi hivi karibuni imepitia taarifa mbalimbali ya michezo iliyofanyika ya Ligi Kuu ya Vodacom na Ligi Daraja la Kwanza na kufikia uamuzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG). Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Kiungo wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima, amesema kuwa watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo ili kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SIMBA YAKANUSHA UVUMI WA KUMFUKUZA KOCHA OMOG Klabu ya Simba haijatoa taarifa yeyote kuhusiana na mabadiliko yanayoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wasioitakia mema klabu yetu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom