Mashabiki wa soka wana mambo yao,baada ya Kocha wa timu ya Njombe Mji Banyai kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wowote ule wa ligi kuu mashabiki wa Njombe mji wameibuka na kumpa kocha lawama...
Unafiki ni kitu kibaya munoo. End of the day unaumbuka live.
Kwa kitendo walichomfanyia CAVAN.ni dhahili kuwa wabrazili ni wabaguzi aise. Dani Alves anamnyang'anya mpira Cavani alafu anampatia...
Uongozi wa klabu ya Simba umesema hauna mpango wa kumtimua kocha Joseph Omog kama inavyovumishwa hivi karibuni.
Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba, Haji Manara alisema Omog anatimiza kile...
Habari zenu wadau
Nimefanya research katika maswaala ya uchumi hasa kwa wajasliamali wadogo nimegundua kuwa kama mjasiliamali jasir unaweza kuwekeza miatano kwenye Mkeka na ukaibuka na pesa kibao...
Mpira unamambo mengi wengi wanasema kocha anapewa ajira ili afukuzwe hakuna kibarua kigumu kama cha kufundisha mpira hasa wa miguu
Ukipata matokeo mazuri wewe rafiki yao ukipata matokeo mabaya...
Suala la nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally maarufu kama Cannavaro kukutana na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji limezua mjadala mkubwa.
Wako wanaoamini kuwa Cannavaro ambaye...
Klabu ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza imeahidi leo kuchukua ushindi dhidi ya Simba na kubeba pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa leo katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
NAMBA hazidanganyi bwana. Hakuna shabiki yeyote wa soka kwa sasa anayehoji tena ubora wa Emmanuel Okwi. Hata waliokuwa wakimuita Mhenga sasa wamenyamaza baada ya Mganda huyo kuwanyamazisha...
HIVI karibuni, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilipitisha majina ya wagombea wa mwisho ambao watawania nafasi za uongozi katika Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).
Uchaguzi huo...
Dondosha utabiri wako
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu,tushirikiane kubashiri matokeo ya mechi hizi kwa buku tu kupata Millions za mhindi
By Deadbody
Kuna mijadala inaendelea kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu na vinasababisha matokeo mabaya kwa hizo timu kubwa!
Wadau wa soka wanauliza hao Simba SC na Yanga SC wanaweza kuonyesha hata...
Yule Mzee ' machachari ' wa Klabu ya Yanga Ibrahim Akilimali muda si mrefu akizungumza ' mubashara ' kupitia Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm ameamua ' kufunguka ' na kutoa ' Siri ' ya...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema kuwa mafanikio ya Simba kwa sasa ni kutokana na Rais wa muda wa sasa, Salim Abdallah kuwaunganisha pamoja watu wote na ndiyo...
Wadhamini wa Ligi Kuu Ya Tanzania Bara, kampuni ya mitandao ya simu ya Vodacom, imekabidhi mfano wa hundi ya Tsh 1,000,000/= kwa mshambuliaji wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi siku ya leo Septemba...
Klabu ya Yanga inadaiwa kiasi kikubwa na wachezaji wapya waliosajiliwa msimu huu. Wachezaji hao inasemekana waliahidiwa kumaliziwa chao katika mechi za awali katika mzunguko wa kwanza.
Wachezaji...
Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT) Anthon Mtaka amempongeza mwanaridha Ismail Juma iliyefanikiwa kuweka rekodi mpya ya taifa ya Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa na Dickson Marwa tangu mwaka...
Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa kitaalamu, mchezaji anatakiwa kupumzika muda gani kutoka kucheza mechi moja mpaka nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.