Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Aguero S. Manchester City 5 1. Lukaku R. Manchester United 5 3. Gabriel Jesus Manchester City 4 Wafungaji bora wa ligi ya England wakiwa wamecheza mechi 5 ni kama wanavyoonekana. Wakiongozwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ni bakora za mwalimu wa Shule ya msingi, basi hawa wanafunzi (watumishi wa uma) zimewaingia makarioni vilivyo, dah!!, eti wanawaza kubet!!. Walahi kama ni kuisoma namba sasa imefikia penyewe...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama picha inavyosoma,li-Okwi limecheza mechi mbili tu goli 6 huku Yanga timu nzima ikiwa imecheza mechi 3 wamepata tugoli tuwili. Naona jina la Muhenga limepotea tumebaki kumwita sisi tu.Wote...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni timu inayoongoza kwa kuwa na kikosi chenye thamani kubwa duniani. Thamani ya Kikosi cha Manchster City in USD 1020m Inafuatiwa na PSG na Man United ni tatu. Orodha kamaili ni kama ifuatavyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huyu ni kati ya wachezaji wakongwe waliofanya vizuri lakini wasioweza kufundisha soka , cha ajabu anang'ang'ania jambo asiloliweza. Alitimuliwa Ajax na InterMilan kwa kiwango kibovu kabisa kwenye...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Wayne Rooney amehukumiwa kufungiwa kuendesha gari kwa miezi 24, kufanya kazi za kijamii kwa miezi 12, na masaa 100 ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Neymar lazima atammiss ex playmaker wake wa Barceloma na moja kati ya football icone Messi. Cavani ni mwiba mkali wenye ncha pande mbili. Neymar needs to push hard than when he was in Barcelona
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tangu nilivyoifahamu Yanga enzi za sanifu Lazaro, akaja Lunyamila, wakafata wengine na wengine hadi juzi kati Msuva. Tulikuwa tunashambulia kwa kasi kupitia pembeni miaka nenda rudi, huo ndo...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Baada ya kufunga mabao mawili wakati Simba ikiitwanga MWadui FC kwa mabao 3-0, Emmanuel Okwi amesema pamoja na juhudi, ushirikiano na wenzake ndiyo chachu ya mafanikio hayo. Okwi raia wa Uganda...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakati jukwaa likipiga keleke Omog amtoe Boko badala ya kichuya, Sir Omog alifanya maamuzi sahihi zaidi ya kimbinu. Aliacha washambulizi wawili ili kuua mchezo na Boko akatupia la tatu. Halafu...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Mwenye update karibu hapa ---------- Mshambuliaji Donald Ngoma ameifichia aibu timu yake ya Yanga baada ya kusawazisha bao dakika za majeruhi ugenini dhidi ya Majimaji katika mchezo wa ligi...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Yanga kuna wachezaji wanawachukia sana. Na Okwi ni mmoja ya wachezaji wasiopendwa kabisa na Yanga. Mashabiki wa Yanga ukitaka kuona walivyo na hasira mtaje Okwi, mtaje Kichuya. Hawa wachezaji...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Huyu jamaa nilizani amebadilika pamoja na uhenga wote alionao...bado tu hajaacha kuringa na kujiona ni bora kuliko wachezaji wote Wa simba..Inasemekana hakucheza mechi na Azam coz alichelewa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Taarifa zilizo sambaa katika magazeti mengi siku za hivi karibuni zinaoneseha wazi Simba SC inajipanga kutafuta mbadala wa kocha Omog aliyopo hivi sasa. Ukiangalia Omog ameisaidia Simba SC...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Nanga Chimbenga ni neno la kimakonde lenye maana sawa na Hakuna kinachoniletea Madhara, ama iwe ni chakula/ kitafunwa/ kitoweo/kinywaji na n.k, hakuna ubishi kuwa ktk maisha yetu tunayoishi...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa azam tv naomba kujuzwa nikiwa ni mfuatiliaji wa vpindi vya azam tv haswa Azam spot 2 naonaga marejeo ya mechi zilizopita zikirudiwa mara nyingi lakini mechi ya Azam na Cosmo Pollitans...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimethibitishiwa Golikipa aliyedakia leo Mwadui katika mechi dhidi ya Simba ni mmoja wa Vijana waliokuzwa na kulelewa na aliyekuwa Kocha wa team hiyo Jamhuri Kihwelo "Julio". Na kwamba...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wahusika tatueni tatizo la miamala kutoka Tigopesa kwenda mkekaBet kutoka Jana pesa ukiweka kupitia tigo pesa hazingii kwenye account ya MkekaBet. Tambueni muda uasonga na hii ni weekend.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Viwango vya soka duniani kwa mwezi August vimetolewa leo Septemba 14 na shirikisho la soka la Kimataifa FIFA ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi tano licha ya kushinda mchezo wake wa kirafiki wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom