Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna tatizo la miamala kati ya MkekaBet na Tigo pesa wahusika tatueni tatizo hili Leo weekend tambueni hilo,tatizo lipo tokea Jana pesa zimekwama hatujui ni nyie au ni Tigo mkipigiwa simu mnatoa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Baada ya kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya undefeated world champion Floyd Joy Maweather na Conor Anthony MacGregor ,hatimaye macho yote kwa wapenda boxing wote duniani tutayaelekeza...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Hii ni mechi ya mzunguko wa tatu baina ya majimaji vs yanga.Yanga ya msimu huu sijui kama tutoboa,mashabiki wa yanga popote mlipo tujiandae kisaikolojia.Timu inacheza utafikiri inashiriki ndondo...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Kweli Ni Gongo wazi maana mbaya zaidi Timu iliyowahenyesha ni Punyeto Fc, ( Lipuli) Sasa wakikutana na Sumba/azamu watachomoa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Difaa Al Jadid, Simon Happygod Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti ndani ya klabu ya Difaa Al Jadid ya nchini Morocco...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Mshambuliaji wa Timu ya Difaa al Jadida ya Morocco ambaye ni raia wa Tanzania, Saimoni Msuva ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora ya mwezi wa Agosti ndani ya klabu hiyo. Msuva aliyejiunga na...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Yousoufa moukoko anachezea under 16 ya Borussia Dortmund ya ujerumani Borussia Dortmund U17 v FC Viktoria Koeln U17 - B Juniors Bundesliga
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Klabu ya soka ya Majimaji ya mkoani Ruvuma imejinasibu kuwafunga mabingwa watetezi wa VPL Yanga kwenye mchezo wao wa kesho. Majimaji kupitia kwa mjumbe wake wa kamati ya utendaji Salum Masamaki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kufuatia Rais John Magufuli kuvunja Wakala wa Uendelezaji Mji wa Kigamboni (KDA) na kuelekeza shughuli zote za KDA zifanywe na Manispaa ya Kigamboni. Na kufuta umiliki wa mashamba mawili makubwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kwa kiwango hilki lini tutakwenda mbele ?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mchambuzi maarufu wa soka nchini, Ally Mayay, amewatoa hofu mashabiki na wanachama wa Simba baada ya kusema anaamini kocha wao, Joseph Omog, atawapa mafanikio. Simba ilizindua kampeni zake za...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jengo la Makao Makuu ya Klabu ya Yanga lililoko makutano ya mtaa wa Jangwani na Twiga Kariakoo jijini Dar es salaam, liko hatarini kupigwa mnada kutokana na deni la Sh. milioni 300 ambazo klabu...
3 Reactions
66 Replies
15K Views
Mshambuliaji wa Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Okwi alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Inasemekana mchezaji emanuel okwi,jana alimpiga kichwa kwa maksudi kocha wa timu hiyo omog,baada ya kocha huyo kutaka maelezo ya kiundani kutoka kwa mchezaji huyo,baada ya kuchelewa kujiunga na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Msimu huu fikra zangu zinaniambia kuwa Simba ndio Bingwa. Lete mawazo yako na wewe tujuwe
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani. Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima. Timu inayotetea ubingwa - Real...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kujulishwa MCHEZO wa Bahati nasibu ambao kwa asilimia kubwa una uhalisia. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natizama mechi ya maveterani hapa Azam tv, huyu Lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi. Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani.
4 Reactions
85 Replies
15K Views
Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom