Habari wana JF
Hivi naomba kuuliza ile kauli ya Mh.Rais Ally Hassani Mwinyi Ilitenguli au bado?
Nakumbuka aliposema "Tstarz ni Kichwa cha Mwendawazimu"
Wadau nadhani mnakumbuka kipigo ilichokipata klabu yenye Makazi yake kwenye Swimming pool pale Jangwani cha bao 5-4 ,YANGA.Kipigo hicho kilitokana na Usajili Wa 1.3Bilioni.
Sent using Jamii...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo ya muda wa kuanza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Azam FC na Simba SC.
Mchezo huo utafanyika leo...
Jamani tuache unazi tuwe wakweli. Yale magoli aliyopiga Said Ndemla na Mwinyi Kazimoto sio ya nchi hii.
Hebu tazama Mwinyi na Ndemla walivyonyumbulika,wakapangua mabeki,waka-drebo,wakamtazama...
Yule mshambuliaji machachari sana toka nchini Ghana, Nicholaus Gyan, ambaye nchini kwake wanamfahamu kama King Goal ametamka kuwa yu tayari kutoa huduma kwa Taifa liltakalo muhitaji.
Namnukuu...
Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa.
Refa huyo raia wa Ghana Joseph Lamptey, alipiwa...
Nasikia Riadha mkoa wa mwanza wanaandaa kozi ya awali ya ukocha wa riadha, Sept 2017. Mwenye taarifa zaidi ya namna ya kujiandikisha na gharama za kushiriki, tafadhali.
Leo katika kukaa kwangu nika jaribu kuvuta picha kwa matukio madogo madogo yanayo tokea ndani ya soka letu la Tanzania kiujumla Nasio kwa Ngazi ya ligi kuu tu bali hata mitaani huku ambako soka...
Klabu za Ligi ya Premia zimepiga kura na kuidhinisha soko la kuhama wachezaji lifungwe kabla ya msimu kuanza mwaka ujao.
Mameneja walikuwa wamelalamika kwamba nafasi ya wachezaji kuhama ligi...
Pamoja na Jitihada za dhati na ZISIZO za dhati za kubadilisha mpira wetu ila ni ukweli usiopingika kuwa Mpira wa tanzania utabadilika ikiwa mambo mawili yatatokea
1. Timu za Simba na yanga...
Kamati ya Sheria, Katiba na Hadhi za wachezaji imesema haioni haja ya kuendelea kumfungia kiungo aliyesaini kandarasi katika vilabu viwili tofauti ambaye ni Pius Buswita baada ya yeye kukubali...
Kamati ya nidhamu ya TFF leo August 31, 2017 imetangaza kumuandikia barua ya onyo kali Simon Msuva winger wa Taifa Stars na klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco kufuatia kukutwa na hatia ya...
Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu...
Mabadiliko ya ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) yaliyotolewa muda mchache uliopita(leo Jumatatu 4/9/2017) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yanaonyesha kuwa mechi zote za...
Naam,
Ni uzi maalumu kwa ajili ya English Premier League (EPL) ambayo kwa sasa ni inajulikana kama Premier League (PL)
Fixtures, Results na kila kitu kuhusu Ligi kuu ya uingereza, tukitupe...
Hivi huwa ni utamaduni wa wakongo eti
Mana mi sielewi Huyu mchezaji mpya wa yanga mpaka kwenye gazeti nikaona hii habari sasa sijui kuna nini hapa Hebu wakuu wa mambo nielezeni
Sent using Jamii...
https://salehjembe.blogspot.com/2017/08/baada-ya-karia-atangaza-kamati-awateua.html
Kamati ya Nidhamu:
Mwenyekiti Tarimba Abbas, Makamu Mwenyekiti, Peter Hella wakati wajumbe ni Boniface...
Katika mechi ya England na Slovakia ambapo England ilishinda kwa magoli mawili kwa moja. Mchezaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs Dele Alli ameonekana akionyesha kidole cha kati. Wakati ikidhaniwa...
Cairo, Misri. Baada ya kutua Misri, kocha wa timu ya taifa ya Uganda, Moses Basena amesema hawataweka akili zao zote kwa Mohamed Salah au Mohamed Elneny.
Kocha huyo wa Cranes anaamini kikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.