Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Chama cha mpira wa miguu Tanzania TFF kimemfungia Mchezaji Pius Buswita kwa kosa la kusajili timu mbili za Yanga na Simba. Ambako kwa sheria za TFF mchezaji atakayekutwa na kosa hilo atafungiwa...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
KIKOSI CHA KWANZA CHA TANZANIA DHIDI YA BOTSWANA 1:Aishi Manula 2: Erasto Nyoni 3:Gadiel Michael 4:Abdi Banda 5:Kelvin Yondani 6:Himid Mao 7:Simon Msuva 8:Mzamiru Yassin 9:Shiza Kichuya 10:Khamis...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya...
5 Reactions
54 Replies
11K Views
Sky Sports Statto ✔@SkySportsStatto Cristiano Ronaldo has scored the 48th hat-trick of his senior career: 42 - Real Madrid 5 - Portugal 1 - Man Utd 11:21 PM - Aug 31, 2017 1313 Replies...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale mashabiki wa football tieni nmba yenu apa nikuadd kwenye group Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mimi kwa mtazamo wangu tunamuhitaji bado Jerry Muro awe msemaji wetu la sivyo tutaendelea kunyanyaswa kwa kauli za wakina Haji Manara...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Livewire Emmanuel Okwi scored on 51 minutes to give Uganda a 1-0 victory over Egypt in Kampala Thursday and top place in a World Cup Africa zone qualifying group. Tanzania-based Okwi had been a...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Mim ni mfatiliaj wa ngumi mda mref,nmeudhuria mapambano meng hapa nchini,..nkaona si haba nkirudia kuangalia mapambano kadhaa ya huyu jamaa,Baada ya kuangalia mapambano 20 ya floyd,nmegundua huyu...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Makocha wa kiafrika wakiwezeshwa na kuaminiwa wanaweza kabisa leo umepigwa mtanange pale uwanja wa Mandela Jijini Kampala kati ya mabingwa mara kadhaa wa Afrika Mafarao wa Misri na Misri kuchapwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye king'amuzi cha star times mechi zinaendelea. I
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Siku ya Alhamisi tarehe 31/08/2017 itakuwa siku ya mwisho ya usajili barani Ulaya kwa majira ya kiangazi kwa msimu wa 2017/2018. Hivyo ukiwa kama mdau wa michezo, karibu katika uzi huu ili kujua...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Mchezaji wa Simba na timu ya taifa ya Uganda the Cranes Emanuel Okwi ameifungia timu yake ya taifa bao pekee dhidi ya Misri kwenye mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2018. Mchezo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baba wa Mtoto Mwamvita ahamia klabu ya Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Simba Week kuelekea Simba day. Baba mzazi wa mtoto Mwamvita Abdullah aliyepewa msaada wa...
9 Reactions
125 Replies
13K Views
Mvua imezidi ,wachezaji wanapunzika halafu polisi wanasukuma maji nje ya uwanja halafu mchezo unaendelea ingawa andora washafungwa 3 ziro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nanukuu... "Ni mapema sana kusema watachukua ubingwa wakati ndiyo mechi ya kwanza, Simba wamekuwa wakianza vizuri hivihivi kwa misimu tofauti lakini katikati ya msimu kasi yao imekuwa ikipungua...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Breaking News: Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na hatia ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga Morocco, Simon Msuva huku ikiwasamehe Obrey...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hatimaye kilichomuondoa Kocha wa Yanga, George Lwandamina na kurejea kwao Zambia kimejulikana. Lwandamina ameondoka leo kurejea kwao Zambia na awali ilielezwa ni matatizo ya kifamilia, lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutoka Studio za Azam TV, Tabata; kinachoendelea ni uzinduzi wa chaneli mpya ya Azam Sports HD ikishereheshwa na Florian Kaijage. Afisa Mtendaji Mkuu: Kama umelipia kifurushi chochote, unatakiwa...
4 Reactions
36 Replies
17K Views
2 Reactions
13 Replies
3K Views
mimi ni mpenzi wa Bundesliga naulizia kifurushi gani cha startimes kinachoonyesha na bei zake zikoje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom