Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza...
Bondia maarufu duniani floyd mayweather,ambaye amepigana mara 49 bila kupigwa anategemea kuingia ulingoni na mc gregory ambaye sio proffesional boxer na hana rekodi yoyote katika boxing,yeye ni...
Cheki uvivu wa huyu bwana Karim Benzema ulivyoicost team yake ya Real madrid na Ufaransa katika mechi tofauti, Kwa uvivu huu bora hata Morata angebaki.
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini
Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu...
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari.
Yanga Oyeeee!!
Daima mbele - Nyuma mwiko.
Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale...
Hakuna mabadiliko yoyote yatatokea msimu huu. Wenger ni yuleyule,timu ni ileile ya kina Iwobi na Walcot ambao hawawezi kupambana na timu kubwa.
Angalia usajili wa man utd,man city...
haya watoto wa mjini wanafumuliwa kama hawamo uwanjani polen arsenal hii ndo liverpool tunachakaza sisi hatuna maneno mengi ila vitendo bado vigogo wengine kama man u,chealsea,na city
Kwa kweli huu ulioufanya Maluwe ni uhuni.
Sisi wengine tunanunua bundle kwa ajili ya habari na huu mchezo tu. Lakini mnatuangusha....
Kumefanyika mashindano ya ARC hapo bagamoyo, kwa kawaida...
STAMFORD BRIDGE, ENGLAND: Magoli ya Cesc Fabregas na Alvaro Morata yameipa Chelsea ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Everton.
======
The Pa remier League champions might be heading into the final week...
Habari wanandugu!
Nataka kujiingiza katika huu mfumo wa betting sasa naomba kuelekezwa kuhusu kampuni nzuri ya kubetia maana naskia mara kuna M-bet, Meridianbet, Mkekabet na nyinginezo nyingi...
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua...
Huyu afisa habari Wa Simba amebaki anajibiwa na mashabiki mpaka ukiona mashabiki wanavyojibu Hondo zake, ni kama wamepaniki/wamepagawa.
Anaipiga Yanga kwa namna mbalimbali lakini yangu ni kama...
Kuna habari kuwa Omong kapewa mechi 4 ambazo kama akiboronga anatimuliwa.Hivi tujiulize,kama ni kweli basi watakua hawamtendei haki.Ndio wametumia hela nyingi sana kusajili karibu timu nzima,ila...
Habari wana jukwaa la michezo ..
Mimi sio mdau sana wa masuala ya michezo
Kwa undani ila kuna jambo moja naomba kulijua kuwa kwa mfano club tangu kuanzishwa mpaka kufikia kucheza VPL hatua gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.