Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mkubali, mkatae... Okwi wa leo ni galasa...... Nilichokiona, akili inataka lakini mwili unakataa.... Ajiandae kuwa kocha kwa sasa, mpira kuishneiiii!
6 Reactions
80 Replies
9K Views
Man city 4-1 Bournemouth Cristal palace 1-1 Swansea Newcastle 1-3 west ham Watford 2-1 BH HT 1-0 sompton Manchester united 3-1leicter Apa kuna kurudisha chenji? mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kweli huyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. Anahamishwa kirahisi kama furushi la gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Tikuba ramadhani ni mshindi Wa million 284 Wa M-bet perfect12. Ni nani anayemjua huyu mtu au M-bet walikuwa wanafanya matangazo tu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba SC na Yanga SC, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani. Nitawaletea masimulizi kabda...
11 Reactions
701 Replies
93K Views
Sikuwahi kujua kuwa arsenal wanasupport gays and lesbo, had wametengewa mahali pa kukaa na kwenye webiste yao wana page yao official Gay Gooners DAH MAN U NAO WALIWAH KUSHIRKI KWENYE...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mkwaju wa penati ya Haruna Niyonzima umesababisha shabiki wa Simba (Pastory) kupoteza maisha kwa kile kinachotajwa kuwa ni furaha ya kupitiliza Shabiki huyo ni wa kijiji cha Sangamaganga tarafa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natabiri kati ya Omog na Lwandamina au wote kutomaliza msimu huu na ukiwaweka kwenye mizani, kocha wa Simba ndio yupo hatarini zaidi. Ni maoni yangu tu karibuni kwa mjadala
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SIMBA imeamua kukata mzizi wa fitna sasa, imeamua kusajili mshambuliaji wa ‘mauaji’ kutoka nchini Senegal. Huyo ni Papa Amadou Niang ambaye anatarajia kutua nchini leo Ijumaa akitokea Dakar...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Jana timu ya Ndanda imefanya maadhimisho ya siku yao "NDANDA Day". Kupitia siku hii shughuli mbalimbali hufanyika kama vile usafi n.k. Hongereni kwa hilo ingawa nina maswali kadhaa ya kujiuliza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Uefa Ndogo Ratiba ya Arsenal Fc 2017/18 Arsenal v FC Cologne Thursday, September 14 Kick off: 8.05pm Venue: Emirates Stadium Matchday two Bate Borisov v Arsenal Thursday, September 28 Kick off...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Droo ya klabu bigwa Ulaya itachezeshwa leo tarehe 24/08/2017 ili kupanga makundi ya michuano hiyo. Droo hiyo itafanyika muda wa saa moja usiku saa za kitanzania (19:00 hours). UEFA imeshibitisha...
5 Reactions
42 Replies
14K Views
Pep vs Mou! Pep aliibukia Barcelona kwenye kikosi cha dhahabu. Alitwaa kila kitu. Mou alimfanyia mbwai uefa na kikosi chake hicho cha dhahabu. Kama haitoshi, Mou kamfuata Spain matokeo yake...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Droo ya EUROPA league imechezeshwa leo mjini Monaco. Katika droo hii haya ndio makundi ya michuano hiyo msimu wa 2017/18 Vilevile mchezaji wa Manchester United Paul Pogba amekuwa mchezaji bora...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa jinsi ninavyo angalia juzi mechi ya kirafiki kule zenji gulioni vs simba mchezaji zimbwe jr alizimia takribani dk3 na kutolewa na leo hii simba vs yanga mchezaji kiraka erasto nyoni alicheza...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Stori ilikuwa hivi; ndani ya "kibanda umiza" mechi ya derby jana kati ya Simba SC na Yanga SC wakati wa mikwaju ya penati alipoenda kupiga Haruna Niyonzima, Shabiki wa yanga akamwambia shabiki...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Najua mtaumia ila kama kawaida yangu mechi ya mwisho ya Simba na Yanga nilikuja humu humu JF na kusema kuwa Yanga itafungwa kwa tofauti ya goli 1 na kwa kwamba kutakuwa na Kadi nyekundu na kweli...
3 Reactions
155 Replies
17K Views
Wadau na wanasoka wa jf nijuzeni jinsi kubet nishindi uyu mwarabu anakula pesa zangu kila siku
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Wadau habari zenu mechi ya jana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshishimbi mara tumelamba dume wengine...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom