Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Draw kesho saa 1 jioni. inatolewa timu moja kila chungu na kuunda kundi. Timu za nchi moja haziwezi kukaa kundi moja. vyungu viko kama ifuatavyo. Pot One: Real Madrid, Bayern Munich, Juventus...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ukweli mchungu,jamaa wanajua mpira na jana wamedhihirisha,huyo Tshishimbi ana siku 5 tu tangu atue kaonyesha mavitu hivyo je akizpea ligi hii itakuwaje.pia Gadiel ni kifaa ambacho yanga wamelamba...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana umepigwa mtanange wa watani wa jadi Yanga na Simba na matokeo yake ni Yanga kupoteza kwa mikwaju ya Penati baada ya dk 90 timu zote kutoshana nguvu kwa matokeo ya bila kufungana. Asilimia...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa makundi yalivyo hakuna mvuto kwenye makundi ni timu kubwa na timu ndogo hakuna kundi la kifo kama tulivyo zoea tutapata raha hatua ya 16 bora maana timu zote kubwa ztakutana Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Kipindi cha uchaguzi niliposikia anachunguzwa uraia, nilijua ni figisu za uchaguzi. Lakin kwa hotuba fupi ya leo hapa uwanja wa Taifa, nimejiridhisha bila shaka kuwa si raia wa Tanzania hata km...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna majirani zangu wakiwa na akili zao ' timamu ' kabisa leo asubuhi wameamka na wakaja karibu na dirisha langu wakawa wanapinga / wanabeti ( wanacheza Kamari ) ambapo mmoja ni Mshabiki wa Simba...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Aloo huyu Jamaa ni Fundi/Mdukuaji Nafikiri ukipima Spidi na kati wa wachezaji waliokimbia sana jana uwanjani hapo hana hata mwezi na timu. Ifike mahali sasa na Sisi Tuanze kuwatengeneza Wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wayne Rooney ametangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa ya Uingereza, ameichezea michezo 119 na kufunga magoli 53.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye gazeti Juma Pinto na David Mosha wanagombea ujumbe kwenye uchaguzi unaokuja wa TFF.... nimeona ni vizuri ku share habari hii...hapa since haya majina yanazungumzwa mno hapa JF now...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita. Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba: 1...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki. Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba...
0 Reactions
128 Replies
20K Views
Yaani wana score three goal within 4 minutes.... Tena goals ambazo ni hatari tupu. . Combination ya Pogba, Matic, Lukaku na wezie ndio imeiva sasa ....
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Kutokana na kuwaangalia na mafanikio waliyo yapata nakuja na timu yangu bora ya muda wote Kipa Dida(Brazil) Mabeki Lahm (Germany) Roberto calos (Brazil) Ramos (Spain) Silva (Brazil) Viungo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
KIUNGO wa Yanga, Pius Buswita amefungiwa kucheza soka kwa mwaka mmoja kwa kosa la kusaini mikataba na klabu mbili, nyingine ikiwa ni Simba. Hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Katiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika. Uamuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika. Uamuzi huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jackpot ni mil 200,000,000/= wenye bahati zenu karibuni mpige mpunga
3 Reactions
24 Replies
8K Views
Naleta hoja hii kwenu wadau wa football tuijadili na baadae wafadhili wayafanyie kazi mapendekezo yetu. Ndondo cup kwa uwezo wake Mwenyezimungu inazidi kuwa maarufu na inaibua vipaji,sasa ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
  • Closed
Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa timu ya Yanga kesho hawatoingia uwanjani kutokana na wachezaji wa timu hiyo kutolipwa mishahara yao ya mwezi uliopita. Hivyo kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom