AJENDA ZA MKUTANO MKUU MAALUMU WA MABADILIKO YA UENDESHAJI WA KLABU YA SIMBA
Kuhakiki idadi ya wanachama waliohudhuria mkutano
Kufungua mkutano
Kuthibitisha ajenda
Hotuba ya rais
Kuwasilisha...
Nipo kijiwe Kimoja cha kuangalia Mpira,Man utd akipiga mtu Goli 4 mashabiki wengi hasa wa Arsenal&Chelsea walikua wakisema Westham ni Wahenga Kisa kina Zabaleta,Joe hart ndio maana wakala Viboko...
Naomba niulize, hiv unawezaje kupata ma agent wa tim za nje ya nchi,, au hta tim kubwa hapa bongo zenye maslah mazur,, ushaur plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Lilikuwa jambo lenye maono makubwa sana kwa Josep Nunez kutumia muda mwingi ofisini kwake kusoma karatasi za Johan Cruyff.
Karatasi zilizokuwa na mawazo yenye thamani kubwa kuliko thamani ya...
Just an advice kwa mzee wetu mpendwa afanye usajili alooo naona kombora moja tayari limegoma kufyatuka au sijui la pili itakuaje,tumezoea kuona yale mabango ya Wenger Out Mwishoni mwa ligi ila...
Nilikuwa nawaangalia kwa dharau sana kwa jinsi mlivyokuwa mnajibaraguza kwenye media , nilijua mtashindwa vibaya sana ! Kwanza ni bahati kupata hata kura 9 .
Mmeingia kwenye uchaguzi hata bila...
WAKATI SISI TUNAMUITA KIUNGO WETU MPYA WENZETU WANAMUITA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI
TUNAPASWA KUJIULIZA UPYA WA KIUNGO WETU NO UPI?
....SIKU ZOTE MASHABIKI WENZANGU WA SIMBA UWA HAWANIELEWI...
Mwamuzi maarufu katika mchezo wa kandanda nchini Somalia amepigwa risasi na kuuawa karibu na nyumbani kwake mjini Mogadishu.
Osman Jama Dirah, ambaye alisimamia mechi za kanda na kimataifa...
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious...
Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee..
=====
At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd...
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza...
Nigeria's Ogenyi Onazi denied work permit to join Birmingham
By Oluwashina Okeleji
BBC Sport, Lagos
Nigeria's Ogenyi Onazi played at the 2014 World Cup in Brazil however the Super Eagles have...
Naona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.