Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Manchester City inategemewa kuweka dau la mchezaji tegemezibwa Arsenal Fc muda wowote. Man City inasemekana wanamtaka Sanchez na watawapa Arsenal Raheem Sterling na dau kidogo! Pia inasemekana nae...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae. Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba ilifanya...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10; Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari humu. Week iliyoisha imeshuhudia mabingwa watetezi, na timu kubwa na zenye historia kubwa ya kutwaa mataji kwenye Ligi zao wakitoa sare, haswa Mabingwa watetezi wakitoa sare kwenye michezo...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
kipute ndo hichooo chakaribia bandugu na wa cameroon washatua darisalama tayari kwa mpambano
0 Reactions
202 Replies
22K Views
Yuko wapi yule aliyesema tenda wema uende zako! Wayne Rooney pamoja na kuvunja rekodi za kutosha kwa ngazi ya klabu yake ya zamani (Man Utd) na kwa ngazi ya timu ya taifa ya England ikiwemo kuwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Nawashangaa Clouds mnashindwa kusema ukweli wakati ni wazi Yanga wamebebwa kabisa. Goli si halali, kadi nyekundu si halali, mchezaji kabigwa kipepsi halafu yeye ndiye anapewa kadi nyekundu. Huu...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
latest edition
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerekebisha na kuandika kwa usahihi maneno ya kwenye Ngao ya Jamii waliyoshinda timu ya Simba.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanaspoti. Nimeamgalia mechi ya Yanga na Lipuli ya Iringa Leo, kweli Lipuli wameonyesha upinzani mzuri, lakini kitu kilichonikera na mara zote hii ni kawaida ya Yanga ni kwa jezi zao kutokuwa na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy. Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba...
16 Reactions
114 Replies
19K Views
Mechi ya leo kati ya Yanga na Lipuli tumeshuhudia mpira wa hovyo kutoka kwa timu ya lipuli zaidi ya dakika 40 wanajilaza makusudi kupoteza muda, mpira ni mchezo wa miguu unaoonekana sasa masuala...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza kujifua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Wachezaji wote kutoka klabu za Tanzania wamefika kadhalika baadhi kutoka nje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba ameanza majigambo yake kwa kudai atahakikisha timu yake inaichakaza Simba katika mechi ijayo ili iweze kujikusanyia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kuwa na imani baada ya kile alichosema kuwa ni uchezaji wa kusikitisha sana baada ya klabu hiyo kucharazwa na Liverpool...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Bosi Msaidizi wa benchi la ufundi la Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amefunguka kuwa, kombinesheni ya washambuliaji wao, Emmanuel Okwi na Juma Liuzio itaweza kuwa msaada mkubwa ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Kama ni ' Utani ' basi nadhani huu wa Jimmy Kabwe mtangazaji wa Choice fm umezidi na sina uhakika kama nikiweka hapa kile alichokisema leo katika Kipindi chake cha jioni ambacho hupenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida leo Katika Uwanja wa Uhuru mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiingia katika mizozo mara kwa mara kufuatia kutokuwa na Imani na mazingira ya leo uwanjani hapo kiasi cha...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom