Kwa mfano Simba inafanya kila mwaka tamasha la simba day hapa Dsm, kwanini wasifanye mikoa tofauti kila mwaka katika harakati za kuongeza mashabiki pamoja na wapenzi katika mikoa mingine?
Mabadiliko katika Ulimwengu wa sayansi na technolojia Ni kitu ambacho hakiepukiki.
kwa kuwa tumelelewa katika tamaduni za kuabudu tamadani za magharibi kwa maana ya Ulaya,hatuna budi kujitafakari...
Simba inaweza kufunga magoli zaidi ya 80, hii imekuja baada ya mechi zake 4 za karibuni, 2 za kirafiki na moja ya ligi na moja ya ngao ya hisani huku ikiwa imeshinda magoli 22,kati ya hayo, 17-0...
Klabu ya Simba ilijiwekea utaratibu wa kutunza mchezaji bora wa kila Mwezi na pia wa Msimu.
Msimu uliopita ulishuhudia mchezaji Mohammed Hussein " Zimbwe Jr " akiibuka na mchezaji bora wa Msimu...
Ukishinda hawalipi, namba za msaada zinafungwa kana kwamba ziko bize 24 inaongea na mteja. Wasumbufu kulipa.
Hawabetishi kwa mkopo Ila hela yako ukishinda wanakukopa. Nawadai 567,458.12 siku ya...
Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kama ifuatavyo.
Michezo ambayo imefanyiwa...
Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje?
Karibuni sana.
IDADI YA MAGOLI ADI LEO...
Mpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu...
Kwa nini michezo ya Simba SC vs Azam FC na Yanga SC vs Njombe Mji isichezeshwe siku moja? Wakati kila timu zinacheza mkoa tofauti na viwanja tofauti?
TFF wanapanga matokeo mapema, hata raundi ya...
Mshambuliaji hatari kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati, Emmanuel Okwi ameipa ushindi timu yake ya Taifa ya Uganda dhidi ya Misri katika pambano la Kufuzu Kombe la Dunia lililopigwa...
Leo wana Simba tunayo furaha isiyo kifani kumpokea mshambuliaji wetu Nicholas Gyan akitokea Ghana
Mchezaji huyu alikuja Simba Day na kurejea Ghana kumalizia maandalizi.
Ikumbukwe kuwa Gyan ni...
Pale shamba la bibi inapigwa game ya kirafiki kati ya Mnyama Nguvu Moja na timu ya ligi kuu ya Zanzibar Hard Rock
Game imeanza
Gooooooo Mo Ibrahim ametupia
Updates
Goooooooo Mo Ibrahim ametupia...
Leo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari.
Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi...
Kijana mpenda michezo ndani ya mji wa Mbeya na muandaaji wa mashindano maarufu kama Mastala Cup acha uhuni na utapeli kijana. Umeandaa mashindano yako yamefanyika hadi kumalizika na Itezi United...
Kwa miaka miki nasikia huu wadhifa wa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) . Aliwahi kushika wadhifa huo Sunday Kayuni na sasa ni Salum Madadi. Je ni nini majukumu ya msingi...
Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi...
Simba yaifunga Yanga 2 - 1 huko Marekani.
Mabingwa wa Tanzania North America Simba Sports Club ya Ughaibuni, leo walitetea taji lao baada ya kuifunga Yanga Sports Club ya Ughaibuni bao 2-1 katika...
The Investigatory Chamber of the UEFA Club Financial Control Body has opened a formal investigation into Paris Saint-Germain as part of its ongoing monitoring of clubs under Financial Fair Play...
Mwaka wa jana bodi ya ligi iliwatia kitanzini Kaseke na Chirwa kwa lengo la kusaidia klabu mojawapo lalamishi kutwaa ubingwa. Jaribio hill lilifeli. Msimu huu kijana machachari awapo uwanjani...
Huwa sifichi mahaba yangu kwa mchezaji anayenivutia uwanjani hata kama anachezea klabu nisiyoishabikia
Scara kamusoko hapewi heshima anayostahili nchi hii,ni level ya kucheza Europe.
-Manara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.