Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kijana wa Kibrazili bado mdogo tu miaka 27 kwa sasa akiwa na pacha wake Rafaeli,hawa wote wakiwai kukipiga pale Old Trafford chini ya Sir Alex Ferguson. Fabio Bana mpira wa miguu umekua hauna...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ilikuwa kombe la dunia 2006 Hapa ni namna wajerumani walivyoona Hapa ni namna Wafaransa walivyoona Hapa ni namna waitaliono walivyoona Hapa ni namna wamarekani walivyoona Na hivi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Everton will become the first ever English Premier League team to play in Tanzania when they go there for a pre-season friendly. The match will be played at Dar-es-Salaam's National Stadium on 13...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Simba wanasubiri embe chini ya mnazi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KIUNGO wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya nchi yake kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hongera sana Rais wa TFF Shabiki mkubwa wa Yanga.Tunakupongeza Kwa kumtaarifu Rais wa FIFA Juu ya klabu yako ya Yanga kutwaa Ubingwa wa Tanzania bara.Tunakuomba uzidi kuitangaza Yanga Kimataifa zaidi.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa Fifa naipongeza Yanga fc kwa kuwa mabingwa
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Njaa inanukia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden. Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United sio tu Kombe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
This season is the third in which the winners of the UEFA Europa League will gain automatic entry into the UEFA Champions League. Manchester United enter 2017/18 UEFA Champions League group...
1 Reactions
1 Replies
815 Views
FYI-Zawadi ya mfungaji bora wa ligi ya EPL ,inayojulikana kama Premier League Golden Boot ,ambayo Harry Kane amechukua kwa mara ya pili mfulilizo ,mfungaji bora huwa anapewa kiasi cha £1,000 kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema utata kuhusu hatima yake katika klabu hiyo huenda ulichangia kushindwa kwa klabu hiyo kumaliza katika nafsi nne za kwanza katika Ligi Kuu ya England. Hata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nina ombi mimi ni mtumishi wa serikali katika halmashauri moja ya Mkoa wa Mtwara, nimebahatika kumuona mtoto mmoja ambae uwezo wake kisoka (football) nadiriki kumfananisha na...
0 Reactions
7 Replies
975 Views
Hapo patamu sana hebu angalia safari hii ya usanii wa bodi ya ligi na kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji. 1:Simba SC yapeleka malalamiko kuwa Kagera Sugar imemchezesha Mohammed Fackh ambaye...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’ STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji! Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ama kweli "uzoefu ni mwalimu mzuri" Ni uzoefu wa Mourinho ndo umetupeleka UEFA - 2017/2018, Glory Glory Glory Manchester united. Like kama tuko pamoja
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianze kwa kuwapongeza washindi wa ligi yetu ya mpira hapa Tanzania bara Dar Young Africans, pia pongezi ziende kwa vilabu vyote shiriki na shindani katika ligi hii. Siku ya jana tumeona zawadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom