Pamoja na Abdi Banda kueleza anakwenda nchini Afrika Kusini kucheza soka la kulipwa, taarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba, zinaeleza tayari wachezaji hao walishazungumza na uongozi wa Simba...
Alikuwa na miaka 16 tu mwaka 1993 wakati anavaa jezi ya Roma lakini tarehe 28 siku ya Jumapili akiwa na miaka 40 amechoka anavua jezi na kuamua kupumzika.
Huyo ni Francesco Totti moja kati ya...
Pumzika kwa amani Shose Wazza Scholes Fidelis, msichana aliyefariki katika ajali ya gari akitokea kuitazama timu yake Simba kutoka Dodoma. Alikuwa ni shabiki mkubwa wa Soka akisapoti timu za Simba...
MWILI wa marehemu Shose Fidels Alhamisi utasafirishwa kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi yaatakayofanyika Ijumaa.
Taarifa ya familia ya marehemu imesema kwamba mwili wa mpendwa wao...
Hili halivumiliki hata kidogo na tunataka maelezo ya kutosha kutoka TBC1 na ikibidi hayo maelezo yafuatwe na msamaha wa Kutukuka kwa Wana Simba SC wote duniani kwa kitendo cha Kimakusudi kabisa na...
Ndo kusema wapinzani washajua mbinu za Luis enrique tangu afungwe na Man city UEFA cup hana matokeo mazuri kivile nyumban kaenda sare dhidi ya Malaga na Real Sociedad
Mwenzake Zidane ni Kicheko...
hapa nakuletea mbabe wa wababe nchini Tanzania kwenye msimu huu unaoisha, kumbuka kuwa namba hazidanganyi... angalia hapa,
1.Simba imefika fainali zote muhimu kuanzia ile ya mapinduzi hadi FA...
Sasa naanza kuelewa kwanini Manji ameamua kujiudhuru,sasa nafasi ya quality group au Manji ipo wapi hapo [emoji23] [emoji23]
Sports pesa wametoa 900M hivyo hakuna mdhamini yeyote atakayeruhusiwa...
Dodoma. Siku moja baada ya klabu ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho, imepata mwaliko bungeni.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC ya jijini Mwanza, bao...
Habari waungwana,
Leo bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limepata ugeni mwingine wa wanamichezo, klabu ya Simba SC imehudhuria kama wageni katika kipindi cha asubuhi.
Mabingwa wa soka...
Leo ndio fainali kombe la ASFC kaa tayari tuwe pamoja
Vikosi vya vitakavyoanza.
Bingwa wa hapa ndio atawakilisha kwenye kombe la Shirikisho Afrika CUF.
Mpira umeanza rasmi
Mbao fc 0-0 Simba...
Leo nahodha wa club ya simba sports club mkude amekunusurika Kifo katika Ajali iliyotokea maeneo ya moro, wakati wakitoka Dodoma baada ya kumaliza mechi yao ya jana dhidi ya Mbao Fc na kushinda...
safari ya matumaini ya timu mbovu ya man utd inafikia ukongoni leo kwani celta vigo watashinda 2-0 na kuiacha man u ikikosa nafasi ya kuingia fainali.
Jana imeshushwa hadi nafasi ya 6 baada ya...
Kuna mtu anaweza nieleza la var ball ni nani?
anahusika na nini hasa?
watoto wake wako wangapi?
why ana umaarufu?
whats so special about him na his family?
nimesikia kuna kiatu wanatoa wauze...
Ningependa tu kuwakumbusha,
Ni kitambo mno tangu muinyanyue tuzo ya Bingwa wa VPL...
Sina uhakika kama mnajua hata uzito (in Kg) wa ndoo ya VPL....
Je mnajua kuwa 2013 sio Leo, Jana wala Juzi...
Ukiangalia jezi za Timu mbalimbali kuna nembo zinaweza kuwa za wadhamini wao au kutangaza biashara zao binafsi.
Tuangalie Nembo hizo na Maana yake japo nyingine ni ngumu ila naimani hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.