Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

tujuzane habari na tetesi zote za usajili Bongo mpaka huko majuu kupitia uzi huu karibu
5 Reactions
50 Replies
8K Views
*VIVA YOUNG INTERNATIONAL GROUP* *MAJUMUISHO BAADA MAPITIO YA MKATABA WA UDHAMINI WA TIMU YA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB NA KAMPUNI YA SPORTSPESA LIMITED* *MAY, 2017* *1. UTANGULIZI* Tarehe...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Shirikisho la Soka Duniani(FIFA) latoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka. Tanzania imeporomoka kwa nafasi 4 (135 hadi 139). Brazil wamebakia katika nafasi ya kwanza, huku kwa nchi jirani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sport Pesa Cup. - Ni Michuano mipya itakayohusisha timu zinazodhaminiwa na Sports Pesa. 5/6 Singida united Vs FC leopard Yanga Vs Tusker fc 6/5 Simba Vs Nakuru All Star Jang`ombe boys vs Gor mahia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HILI NI JICHO LA MWEWE AU LA KUKU?? _____________ Na:HAJI Manara Kuna uchokozi flani unaofanywa na baadhi ya watu,haufai kunyamaziwa,hata kama unafanywa na mtu mnayejuana kitambo na...
7 Reactions
46 Replies
8K Views
Ni redio ambayo maudhui yake hasa ya Kipindi chake cha Sports Headquarters mengi ni ya ama kuinanga vibaya Klabu ya Simba au kuilezea Simba SC kwa mtazamo hasi na wa kuidhoofisha mno na hali...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Rene Huguita. Alipata kuishi katika sayari tuliomo. Anatoka katika nchi ya Colombia.Mpira kwake ilikuwa ni furaha vituko na vihoja. Mara nyingi alitoka golini kwake kwenda mbele kuongeza...
7 Reactions
29 Replies
7K Views
Klabu ya Simba imetoa kiasi cha shilingi milioni 4.2 kama sehemu ya rambirambi katika msiba wa aliyekuwa shabiki na mwanachama wao, Shose Fidelis aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ajali ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya msimu wa 2016/2017 kuisha kwa klabu ya Azam kufanya vibaya mfululizo kwenye ligi wameamua kufanya overhauling ya management na wachezaji na tayari CEO Said kawemba ametumbuliwa na nafasi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoka viwango vipya vya ubora wa soka duniani ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi nne. Katika orodha hiyo ya viwango iliyotolewa leo Juni mosi, Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa timu hii , hakika huu ni uamuzi wa muhimu sana kwa Dortmund . Huyu ni kocha aliyeshindwa kabisa kwenda na moto wa timu , timu hii imepoteza kabisa ule ukali wake...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuelekea msimu wa 2017/18 timu ya Yanga mabingwa mara 3 mfurulizo wa Vodacom Premier League wakiwa hadi sasa hawajielewi bajeti ya timu kwenye kujiandaa msimu mpya kuanzia kwenye usajili wa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Natumai mu wazima, Ni muda sasa mrefu kama misimu minne ambapo timu ya Simba SC haijafanikiwa kuutia ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara mkononi japo kwa msimu huu wamefanikiwa angalau kupata kombe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna walakini umejikoteza kwa klabu ya Manchester United kumnunua mchezaji Antonio Griezman wa Atlético Madrid baada ya mahakama ya kimataifa ya maamuzi ya kisoka (The Court of Arbitration for...
1 Reactions
1 Replies
813 Views
Born in sadabell joined barca youth team in the summer of 2005 Technical profile.. Is very complete midfielder renowned for his intelligence on the field As well is a good reader of the game...
2 Reactions
9 Replies
973 Views
Nyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba; Jonas Mkude Ajib Manyika Peter Abdi Banda Method Mwanjali Novatus Lufunga Juuko Murshid- @ MWANANCHI Kwa maoni yangu bado nawakubali sana Jonas Mkude na...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba ametoa ripoti yake ambayo ni mwanzo wa mwendelezo wa maandalizi yao katika kuukaribisha msimu wa 2017/18. Aristica Cioaba ambaye ni raia wa Romania ametoa...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Licha ya kushika nafasi ya sita katika Premier League msimu wa 2016/17, Manchester United imetajwa kuwa ndiyo klabu yenye thamani kubwa zaidi Ulaya ikiifunika Real Madrid. Utafiti uliofanywa na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, imesafiri salama kutoka Dar es Salaam, Tanzania hadi hapa Alexandria, Misri. Timu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Anachukua mikoba ya Luis Enrique alikua kocha wa Atl Bilbao. Karibu Catalunya Ernesto Valverde. ===== Kocha Ernesto Valverde ametangazwa rasmi na uongozi wa Barcelona kuwa ndiye mrithi wa Luis...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom