Wakati tukiendelea kuisubiri kwa hamu mechi ya Fainali ya Michuano ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus ni wazi wapo baadhi ya wachezaji na wakufunzi ambapo kila mmoja...
KUELEKEA FAINALI YA UEFA CHAMPION MILLENNIUM STADIUM
Congrats Real Madrid ALL GOALS and HIGHLIGHTS
Juventus wameshindwa kurudisha Heshima yao
Kuelekea katika fainali ya leo ya Uefa Champion...
Ndio wakuu....
Kwa wachambuzi wa mpira na kubeti.
Kesho si mnajua kuna nini pale Cardiff City.. Sawa.
Nina laki moja hapa, nawaza kesho nizalishe nipate laki 6.
Kuna option kadhaa hapa, je niweke...
Hii "tusi" mara nyingi hulisikia kwa Haji Manara "akiwatukana" Yanga,lakini sikuwahi kujua hasa maana yake na lilitokana na nini
Mwenye kufahamu please
Nini kimemkuta huyu kijana wa Kituruki pale Barcelona kakutana na mafundi zaidi au mfumo umemkataa tu?
Akiwa Atl Madrid Alikua akipiga mpira mkubwa sana tena washoka alikua hawezi kusugua benchi...
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mzambia George Lwandamina amerejea nyumbani na hatakuwepo wakati timu hiyo ikishiriki michuano ya SportPesa Super Cup, inayotarajiwa kuanza Juni 5 hadi 11, mwaka huu Uwanja...
Wewe kama mpenzi wa soka kati ya sehemu hizi wapi huwa unapenda kuangalia mpira na huwa una enjoy zaidi
Sehemu maalumu kwa ajili ya mpira tu a.k.a Kibanda umiza??
Bar?
Nyumbani??
Mfano mechi ya...
Juventus na Real Madrid wanahitimisha msimu wa Uefa wa 2016/ 2017. Juventus huwa wanatumia kifupisho cha Juve na Real Madrid wanatumia RM . Ubashiri unaonyesha ndani ya dk 90 itaisha draw na...
Siku moja nlipokuwa nazungumza na mdau mmoja wa michezo kuhusiana na utajiri na pesa inayowekezwa azam nlimwambia hali hii haitadumu sana. Akaniuliza kwa nini. Nlimweleza azam zile pesa...
Kamati ya usajili ya timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa imekaa na kuazimia yafuatayo.
1.Kusajili wacheza vijana zaid.
2.Kusajili wachezaji wenye viwango
3.Kuwatema wachezaji wasio na mchango...
90+4' Mpira umekwisha.
Dakika ya 88: Serengeti wanapata mpira wa kurusha, unarushwa ndani ya eneo la 18 la Niger lakini beki wao anaubutua na kuokoa.
Dakika ya 81: Presha inazidi kuongezeka...
HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba kipa bora zaidi nchini kwa sasa, Aishi Manula, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo akimfuata straika, John Bocco ambaye kitambo...
Hawa ni Wachezaji Hatari sana waliyowahi kutokea Duniani kwa Upigaji wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Haijalishi walikua wanapiga mipira kutokea Kona gani Ila kati ya Mipira 5 lazima minne Itie...
ROON-DERFUL ... Wayne Rooney scores United's second goal a minute from time
FA Cup round-up
Oldham, Coventry, Sheff Utd and Huddersfield are all through to the fourth round after...
'Anelka alichomoa penalti'
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI Nicolas Anelka alikataa kupiga penalti ya tano katika mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya.
Mshambuliaji huyo wa...
Bundi wa maisha magumu ameendelea kuzunguka katika mitaa ya Jangwani baada ya wachezaji wake kuanza kulalama chinichini kwamba mshahara sasa umefikia miezi minne.
Wachezaji wa Yanga hawajalipwa...
Katika kile ambacho kinaonekana ni kuitengeneza klabu kuwa kwenye mwelekeo sahihi, taarifa ni kuwa Klabu ya Azam imefanya mabadiliko ya kiungozi ambapo Saad Kawemba amewekwa pembeni.
Taarifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.