Kipa mkongwe wa Yanga, Ally Mustapha 'Barthez' na beki wa pembeni wa timu hiyo, Oscar Joshua ni kati ya wachezaji watakaokuwepo kwenye kikosi cha Singida United katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .
If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not...
Ntaziita tetesi kwamba Azam Fc wameachana na Mchezaji wao John Boko Rafaeli,Akiwa ni kati ya wachezaji walioifikisha Azam hapo ilipo kwani kuanzia ligi daraja la kwanza mpaka Azam wanapanda ligi...
Tutapeana taarifa zote za Kombe la Sportpesa hapa.
Michuano itaanza tarehe 4 na kufika tamati tarehe 11 mwezi ujao,kwa upande wa timu shiriki zipo nane kutoka mataifa ya Tanzania bara$visiwana na...
Simba acheni kuzubaa , ni wakati wa usajili ...ulimbukeni hilo kombe mlo bebwa utawagalimu, inatosha mlivyoshangilia nikiteni kwenye usajili sasa, huyo boko alishazeeka tafuteni damu changa...
Tunaweza sema Edo Kumwembe ni muandishi( a columnist) wa michezo
hasa mpira wa miguu wa kuheshimika
Kama sio maarufu zaidi katika sekta hiyo
umaarufu wake unamfanya hata anapoandika kuhusu siasa...
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.
Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu...
Tupeane Tetesi za usajili katika Club zetu mbali mbali
1:John Bocco - Azam fc to Simba sc
2:Neck Maxine - Assistant Coach Young African
- Confirmed by Jangwani magazine
3:Ajib na Mkude Simba sc to...
BAADA ya kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la FA mbele ya Simba kwa mabao 2-1, wachezaji wa Mbao FC wamemtupia lawama za waziwazi mwamuzi aliyechezesha mechi hiyo, Ahmed Kikumbo kutoka Tanga...
Habari!
Kama inavyo jieleza kwenye kichwa, kwenye kupitia pitia kucheck tv nikakutana na mechi live za mashindani ya mpira wa miguu ya dunia kwa chini ya miaka 20 inayo endelea huko Jamhuri ya...
Walijiita majina kibao Mara wanamapinduzi ya soka,sijui ooh wao Levo yao ni tp mazembe Na alahly,walipochukua kikombe cha ligi kuu ndo matusi yakazidi nikamsikia kiongozi wao akidai watachukua...
Mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa:
1. Sukari kilo ilikuwa 700.
2. Ze comedy ilikuwa eatv.
3. Leicester city ilikuwa champion ship
.
4. Diamond bado alikuwa tandale.
5. Nauli ya daladala...
VIJANA WAMEFIKA TAYARI GABON .
-Timu ya Tanzania chini ya miaka kumi na Saba Serengeti boys imefika Tayari Gabon kwa mashindano ya AFCON (U17) Ambayo yataanza Jumapili Ijayo . Tanzania imefikia...
Straika Antoine Griezmann ameiambia klabu yake ya Atletico Madrid kuwa anataka kuondoka klabuni hapo.
Hizo ni taarifa kutoka Hispania ambazo zimeibuka wakati ambapo mchezaji huyo yupo katika...
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo.
Mfaransa huyo amekuwa meneja wa Arsenal...
Michuano ya SportPesa Super Cup, imeanza kuwa gumzo huku Wakenya wakitamba zaidi kuwa wanataka timu yao ichukue ubingwa na kupata nafasi ya kucheza na Everton ya England.
Bingwa wa michuano hiyo...
Hii ni baada ya kuichapa Reading kwa mikwaju ya Penati 4 - 3, baada ya game kali sana ya Play off iliyopigwa Wembley na kumalizika kwa suluhu ya 0 - 0 katika dk 120.
Kila la heri Huddersfield...
Nahodha wa Simba Sports Club Jonas Mkude ambae juzialipata ajali ya gari, ameruhusiwa kutoka hospitali na tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa.
Pichani akiwa na wachezaji wenzake Ndemla na...
Leo Yanga sports club wapo Mkoani Tanga kulitembeza kombe lao la vodacom baada ya kutoka mkoani Morogoro. Watu toka sehem mbalimbali Tanga waipongeza yanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.