Simba inahitaji kujiimarisha zaidi kwani msimu ujao wanajukumu la Ligi Kuu na michuano ya Kombe la Shirikisho ambyo wanahitaji kufanya vizuri.
Klabu ya Simba imemaliza nafasi ya pili nyuma ya...
OLD IS GOLD
MIMI PIA NI MPENZI WA MIZIKI YA KIZAMANI , NIMETAFUTA ILE ILIYOPENDWA SANA ENZI HIZO ANGALIA HIZO LINKS
OTTOWAN DISCO
BALTIMORA TARZAN BOY
NEW EDITION - MR...
Watu wengi tumekuwa washabikii wakubwa wa soka la ndani na nje ya Tz.
Lakini wengi wetu hatujui mshindi wa uefa huwa anabeba kitita cha paundi ngapi, Hali kadharika bingwa wa epl yeye anabeba...
MANULA ATAKA MILIONI 100 SIMBA
MLINDA mlango namba moja wa Azam FC, Aishi Manula, ameitaka klabu yoyote inayowania saini yake kwa ajili ya msimu ujao kuweka mezani Sh milioni 100 ili aweze...
KWA waliokuwa uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita wakati Simba ikicheza na Azam, watakuwa wameshuhudia kitu kimoja kikubwa. Uwezo wa Mghana James Kotei kumdhibiti vilivyo...
Zanzibar was admitted as a full Confederation Of African Football (Caf) member in March.
Tanzania's Football Federation (TFF) president, Jamal Malinzi, has confirmed Zanzibar's fresh bid to become...
Ronaldo akizindua uwanja wa ndege ambao umepewa jina lake. Uwanja wa ndege wa Madeira sasa umepewa jina la Cristiano Ronaldo.
Baadhi ya wanasiasa wa eneo hilo wamepinga uamuzi wa kubadilisha jina...
Leo saa 8:00 Mchana Usikose michuano ya SportPesa ikihusisha vilabu vikubwa kutoka Tanzania na Kenya MUBASHARA ITV na EATV.
Mechi ya pili kuanzia saa 10:15 Jioni , Yanga ya Tanzania dhidi ya...
FAINALI YA UEFA 2017 WANAUME DHIDI YA WANAUME
Christiano Ronaldo amethibitisha kuwa yuko peke yake kwenye hii dunia.
Hakuna Ronaldo mwingine,kwenye Fainali ya jana ilikuwa bonge la...
Sina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite...
Namba Hazidanganyi, Ronaldo yupo kwenye anguko kama Rooney
Zinedine Zidane alizungumza baada ya mchezo vs Las Palmas kwamba alimbadili Cristiano Ronaldo ili kumpumzisha kuelekea mchezo wa kesho...
* HISTORIA FUPI YA MICHUANO HII
Ni michuano ya soccer liyoanzishwa na mashirikisho ya mpira ya nchi wanachama barani ulaya(Union Of European Football Assocciations) miaka ya 1955 ikijulikana...
Japokuwa imekuwa kizungumkuti kwa timu kutetea ubingwa katika mashindano ya uefa, kwa mwaka huu bila shaka hali itakuwa tofauti kabisa, Real Madrid itatetea ubingwa wake msimu huu!
Kwa timu...
Those who know do not speak. Those who speak do not know-ukimtizama ,Zinedine Yazid Zidane anachukua kombe la UEFA Champions League mara ya pili mfululizo na hana kelele wala mbwembwe sababu ni...
Najua ligi imeisha ila pointi zetu vipi? Tupeni jibu kwani watani zetu wanazidi kutubeza.Hans Pop ulisema unazifata,je imekuaje? Tupeni jibu ili na si tuongee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.