Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi kuna umuhimu gani wa Mbwana Samata kuparticipate kwenye team ya taifa ili aisaidie kufuzu CHAN wakati Hachezi... Hatuoni kwamba itaawafanya wabweteke
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wadau, Mimi ni mmoja Kati ya wasomaji WA magazeti waliobakia na hata nisiposoma bas angalau vichwa vya Habari vya siku havinipiti. Nimegundua Kuna gazeti au magazeti fulani ambayo kama si...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kupata taarifa za kifo cha mchezaji raia wa Ivory Coast, Cheick Ismael Tiote, kuna wazo lilinijia. Nikaamua kufuatilia zaidi ndipo nilipothibitisha kuwa ni kweli kwa takriban miaka 20...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Mashabiki wawili wa timu ta taifa ya uingereza "three lions" wamelimwa life ban baada ya kuonyesha ishara ya salute iliyokuwa ikitumiwa na Manazi kwa kijerumani wakati wa Hitler. Tukio hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari kuwa anaejiita mfadhili wa Yanga Yusuf Manji ambae pia ni mkurugenzi mtendaji wa Quality Group maji yamemfika shingoni na sasa anautema "ufadhili" wa klabu hiyo kongwa yenye historia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Katika kundi la nne, Timu ya taifa ya Tanzania inaongoza katika kundi hilo! Baada ya leo kutoa droo ya bila kwa bila na Msumbiji. Kwa hiyo tuna point 4 kibindoni! Hongera timu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HATIMAYE Barcelona wamemaliza kazi ya kumsaka atakayechukua nafasi ya kocha wao, Luis Enrique ambaye ameondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo. Enrique ameiacha nafasi hiyo mwishoni mwa wiki...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu Wasalaamu.....!!! Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuelekea UEFA champions league final NOTE: Mwaka 1998..Mjini Amsterdam,nchini Uholanzi ilipigwa Finali ya kibabe ya UEFA ya JUVENTUS v REAL MADRID.Mechi ilikuwa ngumu na yenye upinzan,lakin...
10 Reactions
154 Replies
16K Views
Ni jumamosi tena ya keshokutwa dunia itasimama ikishuhudia Mtanange wa kukata na shoka dhidi ya Timu yenye Ukuta wa chuma(Juventus aka kibibi kizee cha Turin) na Timu yenye Viungo Mafundi(Real...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Gareth Southgate met his England squad at St George’s Park on Friday where they were told that they would immediately be relocating to the Royal Marines’ Commando Training Centre in Exmouth...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
ukiwa kama mwanamichezo ambaye umeshuudia fainali ya UEFA ambayo ilikuwa ya kuvutia na kupendeza tulishuudia real madrid akitwaa kombe kwa kumfunga juventus mabao 4 kwa 1 ambapo ulikuwa ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana nilipata nafasi ya kukaa na mzee Kilomoni pale maeneo ya Msondo Bar kariakoo. Katika piga piga story na Mzee yule nikaamua kuanza kufanya kazi ya upelelezi hata bila yeye Kujua, kwanza...
4 Reactions
26 Replies
7K Views
Mtibwa sugar sports club ni moja ya timu zilizodumu katika ligi kuu kwa muda mrefu! Ilipanda daraja enzi hizo ikiitwa daraja la kwanza mwaka 1996. Katika kipindi chote hicho wachezaji wengi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wiki kadhaa nyuma nilikuwepo mahala Fulani hivi sipataji ili kulinda privacy ya huyo mhusika sababu nikitanabaisha huenda kwa asilimia kubwa akajulikana.wakati nikiwa pale kuna stori zilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet. Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu. Hivi vibibi vya Turin ndio...
19 Reactions
183 Replies
13K Views
Alikuwa mchezaji wa Zamani wa Newcastle United Demba Na, athibitisha Kupitia ukurasa wa Twitter ======= CHINA: Mchezaji wa Klabu ya Beijing Enterprises, Cheikh Tiote(30) raia wa Ivory Coast...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Manchester United will sign three or four new players this summer as Jose Mourinho looks to specifically strengthen key positions in a recruitment policy that is taking similar shape to last...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
KANISA GHANA LAANDAA IBADA KUSHEREHEKEA USHINDI WA CHELSEA Kanisa moja katika mji mkuu wa Ghana, Accra, limeandaa ibada ya kutoa shukrani kutokana na ufanisi wa hivi majuzi wa Chelsea katika Ligi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom