Salum Mayanga ni kocha ambaye amekonga mioyo ya Watanzania kwa muda mfupi kutokana na kuunda Taifa Stars mpya ya vijana wadogo wenye vipaji vikubwa na ari ya kucheza soka. Amebadilisha mfumo...
Ni kweli kabisa ni kweli Aishi Manula ameondoka ndani ya klabu yetu ya Azam hata mlinzi wetu Shomari Kapombe naye pia ameondoka katika ya klabu yetu ya Azam,wote wawili wakielekea klabu ya Simba...
Benchi la Barcelona lenye miamba ya soka kama Gaucho, E'too, Henry, Iniesta..
Au benchi la Real Madrid lenye magwiji wa soka kama Zizzou, Raul, Ronaldo deLima, Figo na Beckham
Kumekuwa na promo nyingi sana juu ya hii timu yetu ya taifa iizingatiwa kuwa Watanzania wengi ni wapenzi wa mpira.
Nakumbuka Rais mstaafu JK aliipigania sana, ikiwa i pamoja na kuleta kocha...
YANGA_Vs_AFC LEOPARDS
All Goals and Highlights
SIMBA_Vs_NAKURU ALL STARS
All Goals and Highlights
#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)
YANGA Vs TUSKER FC, Mashabiki wa...
Hii ndiyo safari ya soka la Afrika Kusini
Chama cha mpira wa miguu nchini Afrika Kusini kilianza safari ya mafanikio na maendeleo kwa waamuzi na viongozi. Waliwatengeneza waamuzi wenye weledi...
Baada ya klabu ya Azam kuwatema wachezaji wao 2 John Bocco na mlinda mlango Aishi Manula wameleta vifaa vipya viwili kuziba nafasi zilizoachwa na wachezaji hao.
Klabu ya Azam imemnasa goli kipa...
Topics: Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Enrique, Jeremy Mathieu, Barcelona, Real Madrid, La Liga
Ronaldo is now favorite to win the Ballon d'Or after winning La Liga and the Champions League...
Usain Bolt ameaga mashindano ya riadha nchini Jamaica kwa kushinda mbio za mita 100 katika ardhi ya nyumbani Jamaica.
Mwanariadha huyo mweney umri wa miaka 30, ataaga riadha wakati anastaafu...
CONTE, ULIWEZA KUMUUMBA COSTA MPYA JUU YA NYAMA ZAKE.
Asubuhi na mapema kibaridi kikiwa kinapenya ipasavyo juu ya ngozi yako. Macho yanatua juu ya kidirisha cha chumba chako, unafurahia kuona...
hata Lesotho imetushinda sasa sijui T utamfunga nani kwenye kundi letu hii Timu bora ingevunjwa tukakaa hata miaka miwili tujipange maana kila siku hamna kitu au bora hata wale madogo Serengeti...
Jana nilishuhudia mchezo baina ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho kupitia luninga ya TBC kusema ukweli kiwango cha Tanzania Stars kilikuwa cha chini sana kulinganisha na timu pinzani. Jana hata timu...
Bosi wa benchi la ufundi la Simba, Mcameroon, Joseph Omog amevutiwa na kiwango cha mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Hafidhi Musa ambaye amejiunga nayo hivi karibuni akitokea Motema Pembe ya DR...
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?
Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.
Hii nchi haijajipanga kisoka ...
Kwa kiwango kilicho onyeshwa jana na wachezaji wetu kina sikitisa sana yani wachezaji mumetumia kodi zetu kwenda kuweka kambi masir. Ya wiki njima mm kama mupenda soka nikafika uwanjani ili nione...
Leo ni siku ambayo nimemwona Samatta akiwa ametoka uwanjani kwa hasira kubwa baada ya mechi kati ya Taifa Stars na Lesotho. Pamoja na yeye kucheza vizuri na kujitoa kwa 100%, anahisi juhidi zake...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza wabunifu na wandaaji wa ndondo cup,hususani Ndugu Shafii Dauda.
Mambo mnayoyafanya ni ukomavu mkubwa katika soka. Mnajitahidi sana kushirikisha wadau na...
Habarii za wakati huu!!!!!
Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya...
Wana simba njooni hapa mnitoe dukuduku swala la FIFA vipi mbona kmya hakuna kiongozi wala afisa yoyote anaye ongelea hili swala tena! au kmya nalo ni jibu?
wakuu
hapo jana timu ya taifa, Taifa stars ilikwea pipa na kuelekea nchini Misri kwaajili ya maandalizi dhidi ya Letheto
mechi itakayochezwa Jijin Dar es salaam kuwania kufuzu AFCON 2019...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.