Aliyekuwa(mpaka sasa) mchezaji tegemezi wa Simba SC ameamua kuwatolea nje klabu yake waajiri wake wa zamani yaani Simba SC.
Mchezaji huyo ambaye alivunjiwa mkataba wake kwa makubaliano na klabu...
Katika ulimwengu huu wa soka duniani hakuna viongozi wenye akili kama viongozi wa simba, kwanza walivyokosa ubingwa wa V.P.L wakajifanya kuzuga kwa kukataa kuvaa medali za mshindi wa pili...
Hivi karibuni Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limeendelea na jitihada zake za kuhakikisha Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) wanapata uanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani...
Cristiano Ronaldo wants to leave Real Madrid because he does not want to play in Spain any more, Sky sources understand.
The former Manchester United winger is angry about the way he has been...
Kocha wa klabu ya Serranos B ya vijana wenye umri chini ya miaka 11 ya Hispania ametimuliwa baada ya timu yake kuwapa kichapo wenzao wa Valencia Benicalap C mabao 25-0 mnamo Juni 3, kwa sababu...
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nhcini Uganda
Emmanuel Arnold Okwi ambaye alikua akiichezea klabu ya SC Villa ya Uganda.
Yanga SC imempata...
Huwezi amini ila ndiyo hivyo habari nilizozipata hivi punde kutoka katika chanzo changu cha kuaminika kabisa zinasema kwa yule Tajiri na Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amerejea rasmi...
HIZI NDIO CLUB ZENYE MAKOMBE MENGI ULAYA.
5.Juventus. Msimu huu walionekana bora sana na walitabiriwa na wengi kwamba huenda wangeweza kuchukua ubingwa wa Champions League lakini wakafungwa na...
Yanga wamefanikiwa kumsainisha Pius buswita mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili.Awali ilielezwa kua buswita amesaini Simba ila sasa ni rasmi buswita ni mali ya Yanga.Busitwa anasajiliwa...
It's On Floyd Mayweather vs Conor McGregor: Fight superstars finally announce $1BILLION mega-bout at T-Mobile Arena in Las Vegas for August 26
The two giants of the fighting world will finally...

Wale wapenzi wa ligi kuu ya uingereza ratiba ya msimu mpya wa 2017/18 nani ataibuka mbabe. Tutambiane hapa nani ataingia big 4 nani atatoka?
Premier League fixtures: full week-by-week list...
Simba imefanikiwa kumsajili kiungo Ally shomari kutoka mtibwa sugar kwa mkataba wa miaka miwili.Ally shomari ni miongoni mwa wachezaji mahiri mwenye uwezo wa kucheza zaidi ya namba nne...
Club ya Yanga imezidi kubomolewa na vvilabu vyenye nguvu ya fedha kwa sasa nchini Tanzania vilabu vya azam na simba SC
Wachezaji ambao imesibitika kwa 100% kuwa wamemwaga wino ktk club ya simba...
TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imesajili wachezaji sita wapya, akiwemo beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Juma Said Nyosso(pichani kushoto).
Nyosso anasajiliwa Kagera Sugar...
Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la kuwa mgeni rasmi katika mchezo kirafiki kati ya Timu ya Everton ya nchini Uingereza na timu ya Gor Mahia...
Abdallah Haji Shaibu kutoka Taifa Jang'ombe kasaini miaka miwili Yanga, ni beki wa kati.
Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang’ombe, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, amesaini mkataba wa miaka miwili...
Kama ilivyo kwenye heading apo...Yafuatayo ni magoli Kumi bora yaliyochaguliwa na UEFA Observers Committee(U.O.C) Kwa msimu Wa 2016/2017 Kisha hupigiwa Kura na Kuchaguliwa Moja bora kati ya...
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali, ametangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo iliyoachwa wazi hivi karibuni na aliyekuwa mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.