YANGA imeanza kufanya mambo kwa utulivu ambapo Jumamosi imefanikiwa kumbakisha beki wake wa kushoto Haji Mwinyi kisha ikamalizana na kiungo aliyetakiwa na kocha wao George Lwandamina na kuachana...
14/06/2017
View all 380 Premier League fixtures for the new season
Kick-off times below are 3 Pm for Saturdays and Bank Holidays and 7.45 Pm for evening matches unless stated otherwise.
Please...
Ndugu zetu wa Yanga tunawataka muwe wazi ili tuone namna ya kuwasaidia. Ikumbukwe kwamba mwishoni mwa VPL ilitangazwa klabu kufilisika mara baada ya Mwenyekiti Manji kukutwa na maswahibu ya...
Deal Done
Yule kiungo wa Mbao FC aliyepewa kishika uchumba na kupiga selfie na kiongozi wa Yanga ametimka na kusaini Simba SC kwa ajili ya kuimarisha kosi hilo la Msimbazi. Mido huyu ni Pius...
Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja,,,hatimae aliyekua akiifundisha timu ya taifa ya chile na Raia wa Argentina JORGE SAMPAOLI ajiunga rasmi kukinoa kikosi cha nchi yake pendwa ARGENTINA,FANTASTICO'S...
"Kutembea tutembee na Azam,mimba aipate Yanga"....Wakati Simba ikichanua katika usajili Yanga wamekuwa wakosoaji wakubwa wa usajili wa Mnyama unaondelea.
Ajabu ni kwamba wao Mkemi ambaye ni...
Mshambualiaji wa Timu ya Nkana FC ya Nchini Zambia ambaye pia ni Miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na Mabingwa wa Azam Federation Cup, Simba SC Walter Bwalya amejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu...
7 records Cristiano Ronaldo broke during Real Madrid's Champions League final victory against Juventus
Real Madrid's main man put a few new entries in the record books with yet another...
Hii sheria inasababisha dhuluma na magoli mengi ya utata. Ni bora iondolewe kabisa. Mpira ni kumi na moja kwa kumi na moja wote ndani ya uwanja.
Hii sheria ndio inayosababisha mabeki kuleta...
Mwendesha Mashtaka nchini Uhispania amemshtaki Cristiano Ronaldo kwa tuhuma za kukwepa kodi Tsh 36 bilioni kati ya mwaka 2011 hadi 2014.
----------
Spain's prosecutor's office in Madrid said on...
Kama TFF mnaliona hili na mnahitaji tufudhu mataifa ya Africa basi Kim arudi taifa stars kwa maslai ya taifa,tusije endelea kupoteza muda kwa kujipa matumaini ya kufudhu mataifa ya...
Wachezaji muhimu wanataka kusepa Simba baada ya mikataba yao Kuisha Simba walimshirikisha tajiri Mohamed Dewji Kwa Ajili ya kuwasaidia kuwabakiza wachezaji hao mhimu.
Kutokana na ripoti ya kocha...
Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba yule golikipa hatari na namna moja kwa Tanzania Aishi Manula amesaini timu kubwa Afrika Mashariki na Kati Simba SC
Manula amesaini miaka...
Mchezo wa kwanza ulichezwa - Jun 1 ambapo Cavaliers walipoteza kwa vikapu 91 kwa 113 Warriors
Mchezo wa pili ulichezwa - Jun 4 ambapo pia Cavaliers kwa vikapu 113 kwa 132 vya Warriors
Mchezo wa...
Dar es Salaam. Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa shirikisho hilo .
Mwenyekiti wa kamati hiyo Revocatus Kuuli alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.