Hivi hii timu ipo? Inapatikana wapi, mazoezi wanafanyia wapi? Sijakutana na binti anadunda siku nyingi sana[emoji17]. Niende wapi Dar kucheki zoezi??? Ningependa kusikia changamoto zao
Ronaldo anadaiwa.Mabilion leohii anataka timu imlipie kha kapokea yeye timu ikalipe kodi
Swala muhimu msikimbizane na viduka mshenzi
Je huku mnakusanya kodi..Kwa wachezaji.
Naamini hizi milioni...
Jamil Malinzi Yeye kaweka Nyasi bandia pale Kaitaba,Nyamagana.
Serengeti Boys wamecheza Gabon.
Ligi ya wanawake Imerudi
Ligi Kuu ipo Mubashara Azam Tv
Wadhamini Wameongezeka
Kawapa Makocha...
Jonas Mkude huenda akawa ni mchezaji mzawa anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote katika kabla ya Simba kutokana na kuongeza mkataba na klabu hiyo kwa makubaliano ya kulipwa shilingi milioni tano...
Real Madrid wamesema timu itakayomtaka Ronado italazimika kulipa pauni milioni 350.
Real wana matumaini kuwa bei hiyo huenda ikawakatisha tamaa Paris Saint Germain na Manchester United zinazomtaka...
Sijui imekua ni fashion au vp...
Sijui wachezaji hawaaminiki kwamba watakua na ubora ule ule kwa muda mrefu au vp...
Hili suala linanikanganya kwa kweli. Kwa nini hatuoni mikataba mirefu ya...
"I'm leaving Real Madrid, it's decided. I won't change my mind." - Cristiano Ronaldo to his Portugal teammates. (Source: MARCA)
Naondoka Real Madrid...Imeamuliwa....sitabadili Uamuzi...
Oi wakuu naomba kujua kama kuna mwanasoka mwenye ratiba ya sports extra NDONDO CUP kma kuna mwanamichezo mwenye fixture ya hii michuano anifahamishe
Na pia naomba kujua kma timu nayoishabikia...
Ule uvumi wa mda mrefu kuwa Jonas mkude na Ajibu wanataka kuihama club ya simba imemalizwa na jemedari wa usajiri Tanzania ndugu Hans Poope baada ya wachezaji hao kila mmoja kusaini mkataba mpya...
Inasadikika kua Yanga bado hawajafanikiwa kumsainisha mshambuliaji wa Simba Ibrahimu Ajibu Migomba kwa kile kinachodaiwa kua wameshindwa kumlipa pesa yote japo walikwisha kukubaliana kila...
Misimu kadhaa nyuma kabla ya Ko Deuji kujingiza klabuni simba timu hii inayopatikana mitaa ya msimbazi ilikuwa inasajili wachezaji kwa mafungu mafungu na ilikuwa inapata shida sana kusajili...
Club inayoongoza kwa ubora Duniani na ambayo pia wengi wameiona na kudai kwamba ni Timu Bora ya Karne yaani #FCBARCELONA wamezindua #T-shirt nzuri kwa ajili ya sie Mashabiki......Kiukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.