Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari iliyovunjikavunjika ninayoweza kuwapeni kwa sasa. Haruna Niyonzima amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba. Yanga wameshindwa kumshawishi Niyonzima abaki kwa kuwa fedha...
1 Reactions
75 Replies
17K Views
Wakuu, ninasangaa sana hasa wapenzi wa timu hizi wanapomlilia mtu mmoja hasa katika masuala ya usajiri wa wachezaji. Najiuliza vilabu hivi huwa wanasajiri wachezaji kutokana na mahitaji ya kocha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, nampenda sana huyu jamaa Abdul Kipenga ambaye huwa anashiriki kwenye Sports kizaazaa ya ITV. Anaongea kwa kujiamini na anatoa points za maana sana kuhusu michezo. Mwenye taarifa zake...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, leo mechi za kombe la mabara zinaanza rasmi nchini Urusi. Nimeangaza hapa sijaona ratiba ya mashindano hayo, yawezekana wana soka wenzangu hapa JF wamesahau hivo kwenye uelewa wa ratiba ya...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Haya mambo ya usajili bhana. Huyu Jamaa ameshajiona ndio Mkubwa kuliko klabu ya wale wapigaji. Na ameshajua kuwa huku bongo akikohoa tu, watu wanachanganyikiwa juu yake! Ndio ubaya wa mchezaji...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Uchaguzi TFF unakaribia. Ally Mayai Tembele na Jamal Malinzi wanaonekana washindani wenye nguvu zaidi wa nafasi ya Urais. Ila napenda turudi nyuma,twende mbele. Miaka 4 haijawahi kumtosha na...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
FIFA yapendekeza dakika 60 za mechi Shirikisho la soka duniani (FIFA) lina mpango wa kupunguza muda wa mchezo wa mpira wa miguu kuwa dakika 30 kila kipindi. Bodi ya kimataifa ya soka duniani...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Na :Haji S Manara Shafih Daud ni mmoja ktk watu wa soka hapa nchini,ni rafiki yangu tunaoongea muda mrefu hususan masuala ya mchezo huu murua,uliyobeba maisha yangu,pia ni kijana mwenzangu...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
wote tunajua jinsi watanzania tulivyo inapofika wakati wa uchaguzi... Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kipindi cha malinzi, kesi ya pointi tatu tu imechukua miezi kuisha kipindi cha...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Beki wa upande wa kulia wa Juventus Dani Alves kuelekea Manchester City Juventus imethibitisha kwamba itamwachilia huru beki wa kulia Dani Alves katika mwaka wa mwisho wa kandarasi yake...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
FT: Simba Sc 8 - 0 Yanga Sc. ~> Jukwa la Yanga litazimia na mashabiki wao watazimia. Jamiiforums members: demigod na Nifah wata_delete accounts Jf na watakuja na accounts zingine. [emoji24]...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali. Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe"...
3 Reactions
35 Replies
24K Views
Habari ya Niyonzima kuachana na Yanga imeniumiza sana bora hata angesaini timu nyingine tofauti na mtani wetu. Hii ni sawa na kumuuacha mwanamke aolewe na rafiki yako huku ukimpenda but sio mbaya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mpira wa Miguu, pia uitwao Soka au Kandanda ni aina ya mchezo wa mpira ambapo timu mbili za wachezaji kumi na mmoja hushindana kwa kupigania umiliki wa mpira na kuingiza mpira katika wavu wa...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Arusha. Mchezaji wa Taekwondo, Athuman Omary ameondoka nchini leo kuelekea Korea Kusini kushiriki mashindano ya dunia’ World Taekwondo Championship’ yanayotarajiwa kuanza Juni 23 hadi Juni 30...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hasa Chelsea,arsenal,man u,liver,spurs na man city
0 Reactions
0 Replies
609 Views
The Brazilian legend concluded that non-ending war about who is best player in the WORLD.
1 Reactions
95 Replies
17K Views
Back
Top Bottom