Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mlinda mlango wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Aishi Salum Manula, amekanusha kusaini na Klabu ya Simba huku akiongeza kuwa vipo vilabu vingi vya hapa nchini alivyofanya navyo mazungumzo na...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Manchester hoi kwa Liverpool LONDON, Uingereza KOCHA wa Liverpool, Rafael Benitez amepata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu dhidi ya Manchester United, kwa bao la dakika za mwisho...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msimu wa ligi barani Ulaya unaisha wiki hii,na mabingwa wamepatikana England-Man United France-Lyon Spain-Real Madrid Germany-Bayern Munich Portugal-Porto Holland-PSV Imebaki Italy kati ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kipindi hiki cha Usajili VPL.... Kuna watu wameingizwa sana mkenge. Pongezi zimfikie mwenye jicho hili. Mchezaji akimaliza mkataba na timu yake, hili linafanyika. Tunakupa 50/- wale wanasema 70...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo, June 25 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao ni wageni waalikwa katika michuano ya COSAFA 2017 inayoendelea nchini Afrika Kusini, walicheza game yao ya kwanza ya michuano hiyo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa mchezaji huyu mkongwe na beki wa kati wa Timu ya Mexico. Baada ya kumuona tena jana akiwa na uwezo ule ule wa miaka yote kwenye game ya Confederation cup dhidi ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu wa kazi tujuzane
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Baada ya shabiki mmoja wa Yanga kuonekana akiichoma moto jezi ya kiungo Haruna Niyonzima. Niyonzima raia wa Rwanda, ameamua kuondoka Yanga baada ya mkataba wake kwisha na klabu ya Yanga ikawa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wote mnakumbuka miaka ile ya 90 jinsi komandoo Muhidini Ndolanga alivyokuwa anashinda chaguzi za FAT against all odds! Licha ya nchi nzima kumpinga pamoja na Serikali Chini ya waziri Juma...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Hizi kampuni za Betting(M.bet na MKEKA BET)kama sio Matapeli basi ni wezi wanatumia Number za simu sawa na 300300 namba ya kampuni ila ukipiga simu wanasema sio wao 0762768500/0758833333.Mwenye...
0 Reactions
23 Replies
27K Views
Tufike wakati tutofautishe soka na uongozi Unaweza kusa mchezaji mzuri tu sana ukifika kuongoza watu nshidaaaaaaaa Ndugu zanguwote mnaoshiriki uchaguzi kwanza naaapongeza kaa uthubutu pili...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari za weekend wandugu! Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga. Viongozi wa simba wamewaaminisha...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo. Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa...
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Magoli yote mawili yamefungwa na Yahaya ramadhani * kipindi cha kwanza dakika ya 23 * dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha Tanzania 2 Malawi 0 Update Dakika ya 82 bado tunaongoza 2-0 * dakika...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii picha imenifurahisha kusema kweli ,. Haruna moshi Boban jina la Boban ni nickname kutoka kwa kiungo wa Croatia Boban.Haruna alipata nafasi kwenda Sweden kucheza kama sijakosea na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais TFF 2017 - Poll on StrawPoll.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
fifa imeanzisha rasmi matumizi ya video assistant referees kwenye michuano ya mabara utaratibu huu umezua maoni tofauti kwa wadau cha ajabu timu inaweza funga goli na kushangia alafu linakataliwa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom