Hili naomba kila mwanajukwaa akae nalo mm Mgombea wangu na ninae muombea Kura ni FREDRICK MASOLWA
Lakini
Rais wa Tff ni
Wales Karia
Makamu Mtemi RAMAZANI
Katibu wa Tff ni Ally mayai
Nimemaliza
Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha...
Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
Mganda Okwi mwenye umri wa miaka 26 amesani Simba SC kandarasi ya miaka miwili jana, taarifa zinadokeza hivyo.
Okwi ambaye yupo kwenye kikosi cha kwanza timu ya Taifa ya Uganda kama mshambuliaji...
Siku anazaliwa Mzanaki, Julius Nyerere, hakuna mtu yeyote duniani aliyetambua kuwa amezaliwa kiumbe wa aina gani! Si wazazi wake, majirani hata gavana wa Kiingereza wa wakati huo.. aliyedhani kuwa...
Kabla hujakubali kusajiliwa Simba au Yanga jiulize mtakuwa wangapi kwenye nafasi hivo unayoitiwa huko?
Baadhi ya hasara za kuwa wengi kwenye nafasi moja ni uwanjani ni pamoja na 1. Huwezi kudai...
Heshima kwenu wana jukwaa!
Mimi ni mpenda michezo karibu yote, na kama kawa football ni mchezo niupendao sana tangu utotoni, nina upenzi na timu mojawapo kati ya Simba na Yanga kwa hapa bongo, na...
Nasri 'agrees Arsenal contract'
Arsenal have won the race to sign France midfielder Samir Nasri from Marseille.
The 20-year-old, who has been dubbed the new Zinedine Zidane, has reportedly...
Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE...
Ndugu wananchi....
Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook.....
Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja...
Wadau habari za usiku.
Mimi ni fanatic (mkereketwa) football fan na die hard Barcelona fan since 1993 enzi za Hristo Stoichkov na Romario De zouza.
Jezi mpya za Barcelona ambazo "Blaugrana"...
KUNA kitu kinaendelea Dar es Salaam. Leo Jumanne kutakuwa na mchuano mkali baina ya vigogo wa Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, kila mmoja akimwwania Donald Ngoma.
Yanga...
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.
Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana...
KickOff.com can confirm that Polokwane City
have completed the signing of Zimbabwean
striker Donald Ngoma.
The 27-year-old has penned a three-year deal
with Rise and Shine after undergoing a...
Habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja wa Marafiki wa karibu / mkubwa sana wa aliyekuwa Mchezaji wa Yanga FC Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ( jina kapuni ) zinasema kwamba wana Simba SC '...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.