Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH...
Nilikuwa mmoja wa wadau wa soka tuliopambana kufa na kupona kuhakikisha kwamba Jamal Malinzi anashinda urais wa TFF , Tulipambana kwa udi na uvumba , Kwa hali na mali hadi tukafanikiwa .
Lakini...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, habari kutoka kisutu ni kuwa kaburu nyange pamoja na Aveva watakaa rumande mpaka July 13 baada ya mashtaka matatu kati ya matano kukosa sifa za kuwa na...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Jamal Malinzi amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini(TAKUKURU) akiwa katika harakati za kutembeza Mlungula.
Hatimae "Danganya...
Katika kile kinachoonyesha kwamba Watanzania hasa wapenda Soka / Kandanda wamechoka na Uongozi / Utawala wa sasa wa Rais wa TFF Jamal Malinzi hatimaye leo asubuhi mida ya Saa 5 Viongozi...
Huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.
Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi...
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto...
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!
Sasa simba inasajili Kapombe...
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya...
Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28.
Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank, hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa...
Zimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko...
Yanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana.
Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa...
Timu za taifa za ulaya nyingi ni vibonde maji.
Group la Portugal.
1.Switzerland
2.Portagal
3.Hungry
4.Faroe Islands
5.Andorra.
6.Letvia.
CR 7 anawafunga sana hawa ndio maana ana goli nyingi sana...
Habari wanaJF,
Ufisadi TFF, zaidi ya bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki moja, Nani anamlinda Malinzi nyuma ya pazia? na PCCB wanaogopa kumpandisha kizimbani Bwana Malinzi kwasababu gani ikiwa...
Wachezaji wa timu ya Mbao FC wanaonekaba kugombewa na timu kubwa za Bongo hali ya kuwa hawa kufanya vizuri kwenye ligi nusura waishushe ligi timu yao..? Ni kweli wana kiwango au ni upepo na...
UEFA Champions League Group C
Monaco
Barcelona
Man City
Hoffenheim
UEFA Champions League Group B
Chelsea
PSG
Atletico Madrid
Napoli
UEFA Champions League Group D
Bayern Munich
Man U
Sevilla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.