Mosi.
Nawaomba wale ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) wa TFF ambao kimsingi wameshajulikana kuwa na wao walikuwa wanafaidika nae hasa kwa ' mtonyo / pesa ' na ndiyo maana wameharibu kabisa ' mchakato '...
FIFA inaleta timu kuja kuchunguza sakata la Malinizi na wenzake..wakati hayo yakiendeelea kaimu mwenyekiti wa TFF Karia amesema kunani sintofahamu iliopo ni vyema tukashirikisha na wenzetu FIFA...
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza...
Napenda kumpongeza Ali Mayai Tembele kwa kuwazima midomo akina Jef and co waliokuwa wanauponda uteuzi wa timu ya FIFA ya mwaka huu. Kafanya hivo leo katika kipindi cha michezo cha Clouds FM. Watu...
Uyu ni mgombea Urais kwenye Club yetu pendwa Ya Simba jana nimeona akienda kuchukua form ya Urais alifunga Mtaa wa msimbazi mamia ya wanachama wakisukuma gari lake mwenye Cv yake aidondoshe umu
Aston Villa is delighted to announce the signing of John Terry on a one-year deal.
The former England captain arrives at Villa Park having helped Chelsea secure the Premier League title in...
Timu ya taifa ya Tanzania imefuzu hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wa michuano hiyo ya COSAFA Afrika ya kusini.
Stars imepata ushindi huo kwa goli pekee la...
Ninamuelewa sana Ronaldo ndani ya uwanja kama CR7 ila Bado sijabahatika kumuelewa nje ya uwanja kabisa kama Baba wa watoto watatu.
Kinachonifanya nimuelewe ndicho kilicho kufanya na wewe uelewe...
Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.
Kichekesho...
Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la...
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza...
Leo vilaza wawili kwenye soka wanakutana kwenye mashindano ya Cosafa.South Africa vs Tanzania.
Bila ya kupindisha maneno kila mmoja anafahamu namna Stars tulivyo vilaza na sio stars tu hata...
1. Kughushi
Aveva alighushi nyaraka ili kujilipa deni ambalo inadaiwa aliikopesha Simba USD 300,000.
2. Nyaraka za uongo
Walitumia nyaraka za uongo ili kulipa deni kutoka benki ya CRDB.
3...
Bafana Bafana to know Cosafa Cup quarter-final opponents on Thursday
28 June 2017 - 11:13 By Mark Gleeson
South Africa will have to wait until Thursday to find out the identity of their Cosafa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.