Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa Taifa Stars wanatuchafulia sana wanatumia pesa za bure za Wananchi kwa iyo ni bora tuwafungulie kesi ya matumizi mabaya ya pesa zetu ivyo tuwauunganishe tu na boss wao maana huu ni uzembe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Manchester United wamekubaliana ada ya uhamisho ya takriban pauni milioni 75 na Everton ya kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku, 24. Taarifa zinasema United sasa hawatoendelea kumfuatilia Alvaro...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia michezo ya kombe la COSAFA inayoendelea mpaka sasa katika nchi ya Africa Kusini hasa kwenye michezo ambayo timu yetu imekuwa ikicheza.Mungu jalia timu yetu imeweza...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Huku kikosi cha Simba kikianza maandalizi yake ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, juzi Jumatano, kocha mkuu wa timu hiyo Mcameroon, Joseph Omog anatarajia kutua nchini kesho Jumamosi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kikosi cha Taifa Stars kinatarajiwa kushuka dimbani leo kutupa karata yake ya mwisho dhidi ya Lesotho kwa ajili ya kutafuta nafasi ya mshindi wa tatu ya michuano ya COSAFA mchezo utakaochezwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
matumizi mabaya ya Pesa watu mpira amjui mnaleta mambo ya ajabu eti munamuagizia mchezaji akazibe pengo wakati timu zima libovu fyuuuuuuh
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni nani hasa anayeruhusu uhujumu uchumu wa Klabu ya Yanga SC kwenye suala zima la jezi.? Ni kiongozi yupi wa Yanga SC asiyejua kuwa suala la jezi lina maslahi mapana kwa klabu.? Nimekuwa...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
Tanzania inanipa shida kuielewa hasa unapokutana na viongozi maofisini kwa sura zao ni wapole,wakarimu,waungwana,wacheshi na maneno na ahadi za asali. Kwa kinachoendelea Sasa kwa viongozi wetu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Taifa Stars ipo uwanjani kuivaa Zambia katika nusu fainali ya COSAFA, inayoendelea nchini Afrika Kusini, ikiwa imefika hatua hiyo baada ya kuwatoa wenyeji ambao pia walikuwa mabingwa watetezi...
0 Reactions
155 Replies
12K Views
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Jana kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Taifa stars na Zambia kulikuwa na mashabiki wengi wa stars wakishangilia na kuwapa sapoti vijana mpaka watangazaji wa super sport walishangaa na kusema...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu kwa Wanawake (TWFA), sasa utafanyika Dar es Salaam badala ya Dodoma na Morogoro - mikoa iliyotangazwa awali. Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi ya TWFA, Msomi...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
1.Wa kwanza ataiongoza timu hiyo kwenye mashindano ya 2019 CAF Africa Cup of Nations Qualifiers. 2.Wa pili atahudumu timu hiyo hiyo kwenye mashindano ya 2018 CAF Africa Championship, na (CHAN)...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa. Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya...
3 Reactions
93 Replies
7K Views
Taarifa zisizo na chanzo za kujiuzulu kwa Malinzi kwenye uongozi na hatimaye kujitoa kwenye uchaguzi , zimekanushwa vibaya sana . Source - EATV
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Yusuph Manji achukua fomu 04/06/2012 Taarifa rasmi na za uhakika alizozipata Shaffi Dauda kutoka makao makuu ya klabu ya Dar Young Africans almaaruf Yanga Sports Club, zinasema...
0 Reactions
94 Replies
12K Views
Nikiwa na akili zangu timamu kabisa wala sijashawishiwa na mtu yoyote yule, kwa aibu hii tuliyoipata leo toka kwa Algeria, naacha kushabikia timu ya taifa, kutiana presha sipendi tena, japo...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Huu wimbo mpya wa diamond nimejikuta nausikiliza bila kuchoka hapa chibu amepaa angani. :)
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Back
Top Bottom