Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naangalia game ya Timu ya Gor-Mahia ya Kenya dhidi ya Timu kali ya Everton kutoka Uingereza kupitia EATV hapa kwenye uwanja wa maonesho wa sabasaba , Hakika mna kila sababu ya kutembea kifua...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Mnaochaguliwa kesho kutwa fanyeni ya msingi achaneni na mawazo ya deal mtafungwa! Mobile Traveller
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Chelsea wako katika hatua za mwisho za Kimsajili kitasa kutoka Roma Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni Million 34. Sababu moja wapo kubwa ya beki huyo wa kijerumani ni kwamba amepatwa na majanga ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mechi itakuwa ngumu. Gor Mahia watafungwa 4 kwa 0
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Leighton Baines, Yannick Bolasie, Ademola Lookman and Idrissa Gana Gueye walipotembelea shule ya Uhuru mchanganyiko
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza kwa wale wapenda michezo hususani soka tunawaletea website mpya kwa Ajili ya habari za michezo zilizo jiri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Website hio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Johanna Konta has failed in her bid to become the first British woman to reach the Wimbledon final since Virginia Wade won in 1977. Konta lost to her childhood idol and five-time Wimbledon...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Toa sifa za Wagombea na useme kwanini unadhani wanafaa. Huyu Hapa Shija R Shija 'MSHUA' KWANINI SHIJA R SHIJA 'MSHUA' AWE RAIS WA TFF? Soka la Bongo linanuka rushwa He is a Solution Soka la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
3 Replies
840 Views
Everton vs Gari mahio Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
996 Views
Mpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa! Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
YANGA SC imekamilisha idadi ya makipa watatu baada ya kumsaini na kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Ramadhani Awam Kabwili. Mlinda mlango huyo atakayetimiza umri wa...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Ni tetesi ambazo zinasambaa. Kama Kuna mwenye taarifa rasmi atumwagie tafadhali.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyota wa soka wa England Wayne Rooney, ambaye amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United na kurejea Everton amesema anasubiri kwa hamu sana kuzuru Tanzania. "Naisubiri sana kwa hamu na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya kelele za wadau wa michezo ikiwa ni pamoja na wabunge hatimaye Waziri Mwakyembe amelivunja rasmi Baraza la Michezo Tanzania. BMT ilikuwa chini ya uongozi wa Ndg.Dioniz Malinzi. ---- In...
8 Reactions
76 Replies
12K Views
Baada ya Chelsea kumkosa LUKAKU atakayeenda Man United mda wowote ni vizuri Chelsea kumuomba msamaha DIEGO COSTA na kumrudisha kwenye kikosi cha the blues mabingwa wa EPL Costa ndo mtambo wa mabao...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha wa Mbao FC usihame club yako kwa kuhadaika na vilabu vikubwa ambavyo vimeshindikana hata kwa makocha wa kimataifa kutoka ulaya, haikufaa rangi wewe chokaa utafaa?. Kaa hapohapo utengeneze...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
this is what happened at wrestlemania 33
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni Tanzania , Mchezaji anasajiliwa bila kufanyiwa vipimo; Tumeona Yanga Ajibu baada ya kusajiliwa ndo anafanyiwa vipimo; Ngoma kasjiliwa baada ya usajili kapelekwa south africa kuendelea na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom