Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mahiri wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.
0 Reactions
124 Replies
50K Views
MCHUJO UCHAGUZI MKUU TFF Wakati majina 73 yakipita katika hatua ya awali,mgombea tishio Ali Mayai amepita kihunzi hicho. Mwanasoka Ali Mayai wamekuwa akiiundiwa mazengwe na timu ya fitna ya...
2 Reactions
100 Replies
13K Views
TULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED: Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ...
15 Reactions
84 Replies
8K Views
ROONEY ASAINI EVERTON Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney, 31, amejiunga tena na Everton kwa uhamisho wa bure, miaka 13 baada ya kuondoka Goodison Park Rooney aliichezea Manchester...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Taarifa zilizopo hewani ni kuwa Aveva na wenzie wako mbaroni...... Stay tuned for more
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yule shabiki wa sunderland, mtoto bradley amefariki leo akiwa na umri wa miaka 6. Alikuwa akisumbuliwa na Cancer. May his soul rest in peace
3 Reactions
110 Replies
15K Views
Aliyekuwa beki wa mtibwa sugar na mchezaji wa timu ya taifa stars salumu mbonde ametia wino wa kuitumikia simba miaka. Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
2 Reactions
104 Replies
14K Views
Ile ndoto ya kiungo wa Yanga, Simon Happygod Msuva ya kutaka kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, inaweza kukamilika sasa baada ya uongozi wa timu hiyo kuweka wazi kuwa maongezi baina yao na timu...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) limetoa orodha kamili ya majina ya watu watakaoshiriki kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika mwezi ujao. Nani...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwanza niwape pole sana mashabiki wa Arsenal kwa kipigo cha mbwa mwizi aliyekunywa maziwa ya mtoto , binafsi sikustuka bali nilishangaa kwa Bayern kupata mabao machache kinyume cha matarajio ...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amejiuzulu wadhifa wake wa Ujumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kupitia kwa wakili wake, kampuni ya...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juventus Bayern Munich Man Utd Jezi ya Ugenini, ya nyumbani bado hawajatoa Real Madrid Ac Milan Chelsea Wamemaliza mkataba wao na Adidas, sasa wamehamia Nike Newcastle United...
2 Reactions
33 Replies
29K Views
Habari zenu wanajamvi. Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo. Licha ya kutambua wazi...
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Jana iyo mchezaji bora wa mpira kuwahi kutokea duniani wakati anachukua jiko jijini Rossario
6 Reactions
39 Replies
6K Views
TANZANIA imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya COSAFA Castle baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Lesotho kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Moruleng...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifuatilia michuano ya kombe la COSAFA inayoendelea mpaka sasa kule nchini AFRIKA KUSINI na hasa hasa mechi ambazo timu yetu ya TAIFA STARS (Kilimanjaro Stars) imekuwa ikicheza. Mungu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Romelu Lukaku is set to have a medical with Manchester United after they agreed to pay Everton an initial £75m for the Belgium striker. The deal for the 24-year-old, initially reported by BBC...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Police: Video shows Venus Williams drove 'lawfully' before crash - CNN.com (CNN) Surveillance video showed tennis star Venus Williams was driving "lawfully" as she entered an intersection where...
2 Reactions
1 Replies
702 Views
Asee inachekesha balaa, Wa kimataifa wametupaisha kimataifa. Angalia dk -1:40 to -1:29. Most insane fights players vs Referees
1 Reactions
0 Replies
699 Views
Back
Top Bottom