Mchezaji wa tenisi nambari mbili kwa sasa duniani, Serena Williams amejitokeza katika mitandao ya kijamii na kuandika kuwa ni mjamzito.
Mwanadada huyo mwenye mika 35 aliweka picha yake kwenye...
Ni leo hii majira ya saa tatu na dakika arobaini na tano (09:45) usiku kwa majira ya Afrika Mashariki katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani mchezo wa...
Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF...
Mechi ya real madrid na Bayern Munich ilikuwa ovyo kabisa, Refarii alikuwa amedhamiria kuihujumu Bayern Munich. Kadi nyekundu aliyopewa Vidal ilikuwa feki kabisa na kuacha pengo kubwa kwa Bayern...
Siku moja baada ya kamati ya haki na hadhi za wachezaji kukaa kikao na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la Simba kupewa point tatu dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kumchezesha mchezaji...
Chelsea na Tottenham zimetawala kikosi cha wachezaji 11 bora wa Ligi ya Premia msimu huu ambacho kimetangazwa na Chama cha Wachezaji wa Soka ya Kulipwa Uingereza.
Klabu zote mbili zina wachezaji...
Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Hawa Kibibi Kizee cha Turin wamefanikiwa kutoruhusu nyavu zao kuguswa na nyumbani na Ugenini na Timu za Barcelona hii ni Kusema wanaukuta mgumu usioruhusu Risasi kupenya.
mchezo wa jana pale...
Wakuu nipo hapa naisubiria kwa hamu mechi kati ya Celta Vigo vs Genk ya kina Samatta
Mechi ya leo Genk wakiweza kusonga mbele,basi Mbwana Samatta aatakuwa kajiwekea historia kubwa sana huko mbele...
Mchezo kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Real Madrid umewadia. Mechi hii yenye mvuto kwa ulimwengu wa Soka inatarajiwa kupigwa kwenye Dimba la Nou Camp majira ya saa kumi na mbili na robo jioni...
Real Madrid imeingia nusu fainali ya klabu bingwa ulaya mara 7 mfululizo tangu 2011
Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 katika kombe la klabu bingwa ulaya
Ronaldo ndiye...
Mkae mkijua kama kesho Juve akimtoa Barca, Italia inachukua nafasi ya Uingereza katika nchi zinazotoa vilabu vinne UCL. So msimu ujao England itawakilishw na vilabu vitatu.
Hapo hamtakuwa tena...
Kheri ya mwaka mpya wakuu,
Nimekuwa mfuatiliaji wa ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL kwa muda sasa, nimeshuhudia wachezaji wa kila aina wakicheza na kustafu soka rangi tofauti blacks and...
UEFA imezifungia timu za Lyon na Besiktas kushiriki michuano ya Ulaya kwa miaka miwili kutokana na fujo za mashabiki
---------
Lyon and Besiktas have been given suspended bans from European...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.