Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

April 15 2017 Yanga wanacheza mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho dhidi ya MC Alger nchini Algeria. Dakika ya 15 sasa hivi Algiers 1-0 Yanga April 15...
3 Reactions
197 Replies
25K Views
Chelsea Ni Demu Mmoja Wa Kishua Sana Na Anaringa Sana. Siku Moja Jamaa Anaitwa Liverpool Alienda Nyumbani Kwa Kina Chelsea Akamkuta Mtoto Amekaa Kihasarahasara Akamuomba Mambo Jamaa Akapewa Penzi...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya sasa... Wale wapenzi wa ligi bora duniani, Ligi yenye miamba mikubwa ya soka duniani Fc Barcelona, Real madrid na Sevila.. Ligi yenye wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani CR7 na La...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea? Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi. Ina...
16 Reactions
143 Replies
17K Views
This unification battle for the world title under the titles WBA, IBF, WBO junior welterweight (up to 63.5 kg), was held in Glasgow (Scotland) from 15 to 16 April 2017. In the ring there were: WBA...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje. siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari...
5 Reactions
27 Replies
8K Views
Kuanzia saa nane unusu nitamimina yanayoendelea moja kwa moja kutoka WHITE LANE kati ya TOTTENHAM v. BOURNEMOUTH
1 Reactions
179 Replies
5K Views
Baada ya mechi ya Mc Alger na Yanga kumalizika ,nimejiuliza maswali mengi sana.Kweli kwa aina ya wachezaji wa Kitanzania hata karne tatu zijazo hatuwezi kuchukua kombe lolote la Afrika.Cha kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba imeshindwa kuifunga Toto African uwanja wa CCM Kirumba kwa miaka 7 sasa, wamelazimishwa sare tasa (0-0) KIKOSI CHA SIMBA VS TOTO AFRICAN, LEO. 1.Daniel Agyei 2.J Bukungu 3.Mohammed...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Kipa wa Mbao FC, Erick Ngwengwe amesimamishwa kuitumikia timu hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhujumu timu katika mechi yao dhidi ya Simba. Mechi hiyo ilichezwa juzi Jumatatu kwenye...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Badala ya kulilia point ambazo haziwahusu , zile point halali walizopewa wenzenu wa SIMBA SPORTS CLUB (Mnyama mkali ), chezeni mpira na akili yenu iwe kwenye game yenu tu . Hilo si eneo zuri kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kuwashauri viongozi wa Yanga wajitahidi kusoma Sheria za Soka Na pia itoe elimu Kwa Wenyeviti wa matawi ya Yanga Juu ya Sheria za Kuna MTU anaitwa Mkemi Kwa jaziba anakimbilia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kanuni za ligi kuu zinasemaje juu ya wachezaji wa kigeni wanaotakiwa kupangwa kwenye timu kwa mchezo mmoja??
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Taarifa hizi nimezikia kupitia kipindi cha kipenga cha EA Radio 20:57. ===== Kamati ya saa 72 ya TFF imeipatia Klabu ya Simba SC pointi tatu na magoli matatu baada ya mchezaji Fakhi wa Kagera...
3 Reactions
164 Replies
20K Views
Japo kuwa Simba sc leo imeambulia point moja lakini kuna uwezekano wa kuipoteza baada ya kuvunja sheria hii MBUMBUMBU KATIKA UBORA WETU! Kikosi cha simba wachezaji 6 wa kigeni wameanza first...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu, Nimeguswa na tukio la Kagera sukari kunyanganywa points 3, baada ya kumchezesha mchezaji wao aliekuwa na kadi tatu za njano, ninacho taka kujua mimi ni kama kwenye vilabu vya nchi za...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0. Siku hiyo hamtopata hata...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa yanga ambao wako watano kwa pamoja wameamua kuingilia mchezo wa toto Africa dhidi ya simba utakaofanyika Leo pale uwanja wa ccm kirumba, mashabiki hao...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mechi inaanza ndani ya dakika 28 tu.
2 Reactions
196 Replies
5K Views
Ndiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu. Sishangai na wala...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom