Mbwana Samatta kijana mtanzania ambaye anaonekana kung'ara kila kukicha kwenye timu yake ya Genk huko Ubelgiji, amenifanya kujiuliza;
1. Je, nini hasa ambacho alifanya na anaendelea kufanya...
Ni bwana mdogo ambae ameshindwa kuficha hisia zake kwa Ibrahim Ajibu ingawa kwa Hali duni aliyokuwa nayo ya kushindwa kununua jezi yenye jina la Ajibu lakini ame print kwa kutumia kalamu ya wino...
Sakata la majeruhi limedhidi kuikumba club ya man united na kufanya mchezo wa leo dhidi ya Chelsea wacheze bila ya kuwepo na mshambuliaji yeyote tegemezi baada ya zlatan kuanza kutumikia adhabu ya...
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA...
Shabiki mfia Yanga anayekwenda kwa jina la Kanjunju mkazi wa Jangwani aliangua kilio baada ya mechi ya Simba na Yanga. Kanjunju aliliwa pesa ya mtaji shilingi 50,000 kutokana na kupinga na wenzake...
Nimejaribu kupitia Msimamo wa Ligi Kuu Ya Scotland Nimekuta ya Celtic INAPOINTS 82 ikiwa imecheza Michezo 28 wakiwa wahajapoteza mchezo hata Mmoja Na wakiwa wameenda Sare Mchezo Mmoja.
Kocha mkuu...
Mbwana Alli Samatta amechaguliwa katika kikosi bora cha UEFA(Europa League) cha week.
Haya ni mafanikio makubwa kwa kijana Mtanzania kujumuishwa katika kikosi hiki,akiwaacha kando wakali kama...
Leo kutakuwa na pambano la michuano ya klabu bingwa ya Africa ka ti ya Yanga na Zanaco
Kikosi cha Yanga
======================
Mpira umekwisha kwa kila timu kupata goli moja, timu hizo...
Game kubwa kuliko zote kwenye Scottish Premiership ilichezwa leo mchana pale Celtic FC walipowakaribisha Rangers kwenye uwanja wao nyumbani (Celtic Park). Na hivi ndio mashabiki wa Rangers...
FIFA's President reacts to controversial calls in Barça vs PSG game - Video :: Live Soccer TV
The biggest comeback in European football did not go overlooked by FIFA's President, Gianni...
Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya...
1.Liverpool Vs Ac Milan(2005)
hii ilikua fainali ya UEFA CUP Ac Milan Akiwa mbele kwa goli 3 magoli ya Paulo maldin,Na Crespo goli 2 Liverpool anakomboa yote kupitia Gerrad,Xabi alonso na Vladrmir...
Ni tofauti sana na Mashabiki wa Yanga SC,
Mashabiki wa Matopeni imegundulika kuwa (Kulingana na tafiti zisizo rasmi) hawana uhakika wa zaidi ya Asilimia 50% kuwa Klabu yao inaweza kuwa Bingwa...
Arsenal mnashika bunduki za nini kupambana na Wajerumani? Babu yangu Mkwawa aliwapiga Wajerumani kwa pinde na mishale.
Arsenal nimewakosea nini Leo mnaenda kujipigisha magoli matano kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.