Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

16 MARCH 2017 03:57 Election of the CAF President for the 2017-2021 cycle Outgoing President: Issa Hayatou (Cameroon) Candidates: Ahmad (Madagascar) - 34 Issa Hayatou (Cameroon) - 20 Election...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika siku za mwizi ni arobaini. Iwapo madai ya Klabu ya Zanaco ya Zambia yatathibitika basi itakuwa ni aibu Kwa Taifa, TFF na wapenzi wa soka. Klabu ya Yanga imekuwa na tabia ya kupulizia dawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba mnijuze, Kwa hili nimefurahishwa na jinsi Malinzi alivyoitetea Zanzibar na je atachukuliwa hatua gani na serikali? Kwani ameonesha nyufa kwenye muungano.
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Madagascar. Kwa nini Madagascar? Viongozi kutoka nchi za Africa tunazojua ni soccer giants mf. Cameroun, Nigeria, Egypt, Senegal au and Ivory coast nini kimewakumba? Katika ramani ya soccer la...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
In recent times a lot of domestic football leagues have tried to improve the attraction of their league by re-organising the structure of the league. The Netherlands introduced play-offs for the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza kwa masikitiko makubwa Mwenyekiti wa Klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia Bwana Edward Materu amesema kuwa wanafikiria kuishtaki Klabu ya Yanga CAF na FIFA kwa kitendo chake ambacho...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
tukutane hapa jumatatu Chelsea 1-3 Manchester United Povu
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Soko la mpira ni miongoni masoko yenye faida kubwa ya rejesho kwa wanahisa wake wote!!! Jiulize kwanini matajiri wakubwa huchagua kuekeza kwenye soko la mpira kwa mfano mohamed dewji na simba...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Club ya Leicester city imemfukuza kazi manager wake Claudio Ranieri ikiwa ni miezi 9 tu baada ya kuwaongoza kuchukua ubingwa wa EPL “Claudio, appointed City manager in July 2015, led the Foxes...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Timu ya PSG baada ya kufungwa isivyotarajiwa kikandanda imekata rufaa kwa chama cha Mpira cha ulaya UEFA kwa kusema refa Deniz Aytekin's Kutoka Ujerumani aliyechezesha mechi baina yao na Barca...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na...
15 Reactions
447 Replies
32K Views
Ni yule yule mtangaza njaa mtaa wa pili sio kama nimelewa matokeo ya jana hapana najua capabilities za Team yetu walioiita match of the year 2017 match ya jana Barca vs PSG hawajakosea it was...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Shabiki mmoja akiwa na Nondo ndefu alivamia uwanja 'kumshughulikia' mwamuzi! Ila nimeshangazwa na Askari walivyomshughulikia. Imetokea hivi majuzi. Nisikuchoshe, tazama na soma mwenyewe. -----...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Dar es Salaam. Hali si shwari ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumebainika kuwa mgogoro baina ya watendaji wa shirikisho hilo. Habari za ndani zinaeleza, rais wa TFF, Jamal Malinzi...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Poleni Sana PSG naona jana ni mwendo wa Mateka mikono juu,Kwa game ya jana Naona Barcelona walikua wakilindwa na VIKOSI VYA UMOJA WA MATAIFA,Ukimgusa mchezaji tu Penati Ukikoswa penati Faulu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
" Gabon mpaka Kombe la Dunia " Acheni tu Wazungu watucheke na watudharau Waafrika kwa upungufu wetu mkubwa wa kufikiri. Nawaachieni jamvi Wajuvi mtiririke.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya Malawi imetangaza kwamba imejiondoa katika michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika 2019 pamoja na michuano ya Ubingwa Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani ya 2018. Taifa hilo...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Back
Top Bottom