Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yani kati ya timu nne zilizokuwa Champions league UEFA ni Leicester peke yake ndo amewawakilisha Waingereza kwenye quarter final. Man City pamoja na Ushindi mkubwa wa nyumbani lakini ameenda...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Sitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekutana na muwakilishi wa Sports Pesa Tanzania,Luca Neghesti kumpa taarifa Waziri huyo kuhusu maandalizi...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshangaa kuona habari inayobeba gazeti la mwanaspoti. Katika kipindi ambapo vyombo vya habari vinatakiwa kuhubiri umoja, ili kuipa sapoti timu yetu ya taifa mwandishi anahamasisha usimba na...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania ambae ni muumini mkubwa na muelewa wa mchezo wa mpira wa miguu yaani soka, naupenda mchezo huu pia naweza kuucheza ila co kwa level za kimashindano, napenda kuchukua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
KIkosi cha Botswana dhidi ya Tanzania ni; Dambe Gadibolae Vanderwesthuizem Ramoraka Nato Galenamotlhale Ditsele Kebatho Gaolaolwe Sesenyi Ngele KIkosi cha Taifa Stars dhidi ya Botswana ni...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
"Nimeshinda Ligi Kuu Nchi mbili tofauti...,, Mimi sio Muingereza na sijawahi cheza Ujerumani...,, Nimeshinda pia World Cup na CHAMPIONS LEAGUE...,, Nishawahi kucheza na KAKA pamoja na ROBINHO ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchezaji Bora wa Dunia Cristiano Ronaldo amezidi kujiwekea record nyingine tena kwa Kufunga Magoli ya vichwa zaidi kuliko mchezaji yeyote katika historia ya ligi ya Spain La Liga kwa kufikisha...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Jamani mwenyewe taarifa ticket zinapatika wapi ili nijipange. Nataka nikatoe stress za week hii
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalam Wakuu mimi ni mpenzi sana wa Old school Bongo flava,naomba mwenye hizi nyimbo anisaidie,jitihada zangu zimekwama 1.Mng'aro wa Silva FidQ na Nuru L 2.Amri kumi za Mungu wa Dudu baya aka The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana Nikiwa Sheik Amri Abeid Stadium Arusha Kufuatilia Mtanange kati Ya vijana Wa Madini Fc ambaye alikua Mwenyeji na Simba Sc Mgeni kuna vitu ambavyo nimeviona Havipendezi katika Soka. Simba...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Ninaomba msaada wa Option za Long List maana mimi najua chache kama 1- timu ya nyumbani ishinde 2- timu ya ugenini ishinde ........ Basi ila zingine sijui hivyo naomba...
0 Reactions
1 Replies
17K Views
Wakuu hii kitu nimetafakari sana, binafsi naona kuna wanasoka wa Bongo ambao kila nikitazama soka lao naona kabisa wangeweza au wanaweza kucheza soka la Ulaya. Mfano Mchezaji kama SHADRACK...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Wachezaji Obrey Chirwa anayechezea timu ya Yanga pamoja na Mavugo wa simba wanatakiwa wawe fundisho kwa wapenzi na mashabiki wa soka Tanzania. Watanzania tunapenda sana njia ya mkato, tunapenda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Klabu ya Yanga imeangukia mikononi wa MC Alger ya Algeria katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca. kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist. Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi. Kuna umuhimu gani wa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
hivi hawa azamfc tatizo nini hasa pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanywa lakini bado hafanyi vizuri mechi za kimataifa dah tatizo nini jamani man uwanja wa kisasa wachezaji wa kimataifa lakini bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman naomba kujua baadhi ya wasanii toka Afrika ambao nyimbo zao zimewahi tamba kwny Billboard ya nyimbo 100 bora dunian huko Marekani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom