Mi hii hapa ndo niliumia sana hadi leo hii..
1. Tanzania vs Msumbiji -2007. Tico Tico anatufunga dakika za mwanzo kabisa afu ndo ilikuwa mechi ya kwanza ya kimashindano kuchezwa uwanja mpya wa...
Binafs ni mpenzi wa timu ya Simba kitaifa. Lakin inapotokea Kagera sugar( timu ya nyumban) inacheza na timu yoyote sipendi ifungwe na hasa ikiwa Kaitaba! Na hata Yanga( ambayo kwa mechi za ndan...
Wanajamvi, mchezo wa soka unahusisha timu tatu uwanjani.ukiacha zile mbili zinazochuana pia kuna timu ya waamuzi. timu hii ni sehemu muhimu ya burudani ya mchezo huo. hivyo tukumbuke majina...
Yanga 1 Azam O
Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa...
Ni kweli kwamba nchi yetu ilikuwa inahitaji uwanja mkubwa wa soka na wa kisasa pia , lakini mahali ulipojengwa hapakuwa sahihi .
Kwamba hapo ulipojengwa uwanja mpya palikuwa na uwanja mwingine...
Teknolojia ya video ilitumiaka usiku wa jumanne katika pambano kati ya Spain na France. Huku goli lililofungwa na Antoine Griezmann likikataliwa kwa kuwa alikuwa ameotea, na goli la Gerard...
Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa...
Wasalaam wanabodi,
Mimi kama Mwanachama mtiifu wa club ya Simba SC, naishauri club yangu pamoja na harakati za kunyakua ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara, Uongozi uitishe harambee ya kuzikomboa...
Sio mbaya leo Tukiwajua wachezaji wenye kasi zaidi ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Mfano pale Epl kuna Antonia Valencia,E.Hazard na huyu Ngolo Kante Anaweza kupiga kona na kuja kufunga...
Watu wanapenda sana mchezo wa ngumi ila sasa ufadhili na misaada ya kitaalamu hamna ona hawa wanavyotia huruma.Mchezo wanaupenda lakini ndio hivyo tena
Habari wana JF,
Nimeiangalia ranking list (viwango vya Ubora : FIFA) kwa nchi za Africa (CAF) nikajiuliza kwa sauti kama sasa Tanzania inashika nafasi ya 48 kati ya wanachama wote 54 wa CAF; Je...
Hello habari kama Post inavyojieleza n hapo juu kwa wale woote watakaopenda kujiunga na mchezo huu wa kunyanyua vitu vizito Tanzania Tuawsliane hapa maelezo zaidi nipm: ( mchezo huu sio...
Kupitia mtandao wa transfermarkt lionel messi ametajwa kama mchezaji ghali zaidi ulimwenguni kwa sasa akiwa na thamani ya euro million 120 akifuatiwa na cristiano ronaldo pamoja na neymar junior...
kwa muda mrefu kumekuwa na malumbano juu ya ipi ni ligi bora duniani
kwa takwimu hapo chini nazani tunaweza kuumalza ubishi kam sio kuupunguza
tafadhari tazama katika link hapo chini
TAKWIMU -...
Tunaomba matokeo ya mashindano ya mbio za nyika yanayofanyika nchini Uganda ili tujue tambo za katibu mkuu wa chama cha riadha nchini ndg. Wilhelm Gidabuday zilikuwa na uzito gani.
N.B. aliahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.