Wakuu kwa anae jua Chanel itakayo oshesha mechi Kati ya Barcelona na juventus kwenye application ya MOBDRO anisaidie tafadhari
Au application yoyote itakayo stream live Hiyo mechi
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa. -
Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli...
Nakusogezea live updates kutoka Mwanza CCM Kirumba katika ya Mbao FC vs Simba SC
======
MWANZA: Mchezo umekwisha na Simba wameibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mbao FC iliyokuwa inaongoza kwa...
Akili, mwili na mtizamo hufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano ili kufanikisha jambo flani... akili na mtizamo vikiwa katika hali mbaya basi hata mwili utashindwa kutuonyesha kilicho bora, Ndivyo...
Abdi Banda wa Simba amesimamishwa - WILLYD HABARI
Beki wa kati wa wekundu Msimbazi Simba leo Jumapili ya April 9 2017 taarifa zilizotolewa kutoka katika kamati ya saa 72 ni kuwa amesimamishwa...
Wadau labda kwa kuwa mimi si mpenzi wa mpira wa miguu kivile, nashangaa kuwakuta vijana wenzangu wakibishana kwa kauli kama hii, "nakufunga leo huniambii kitu mimi" huku timu anayoitetea hana hisa...
Simba wamemkatia rufaa mchezaji muhamed fakhi wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano baada ya kupigwa miwa miwili kule kagera hivyo wanataka wapewe point 3.
Mechi imechezwa jumapili lkn...
Salam wana JF.
Kuna taarifa inasema Mtangazaji nguli wa michezo hapa nchini na aliyepata kuwa msemaji wa Club ya Simba Clifford Mario Ndimbo amefukuzwa Radio Times Fm ambapo ndio alikuwa...
Kamati tendaji ya Tff imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika jumapili tarehe 12/08/2017 ambapo uchaguzi huo utakuwa kuwachagua rais wa shiriko la mpira wa miguu Tanzania Tff na makamu rais wa...
ANGALIZO KWA RAIS WA TFF JUU YA HAYA YANAYOENDELEA KUHUSU SIMBA.
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Imeandikwa na
Said Ngulipa
Kwanza kabisa nakupa pole na majukum ya kuusogeza...
Wanajamvi leo imetimia wiki tangu ni bet kupitia Mbet Multiple na Mbet Normal...kwenye simu yaani internet na pesa ndefu nilitumia kubet lakini cha ajabu mpaka leo sijalipwa kiasi nilichoshinda...
KATIKA Misimu minne ya ligi kuu Tanzania bara kuanzia 2012, Young African SC tumetwaa taji mara 3 na Azam FC 1, Msimu huu panapo majaaliwa itakuwa mara yetu ya tatu mfululizo . . Inasikitisha...
Wekundu wa Msimbazi na mabingwa watarajiwa wa msimu wa 2016/17 Simba wameitafuta timu ya Geita gold mining inayoshiriki ligi daraja la kwanza kwa jumla ya 7 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa...
Tukizungumzia jina La Jose Mourinho katika ulimwengu wa Soka Linaheshima yake ila kama vile kwa Sasa Limeanza kushuka Thamani.
Mourinho wa Fc Porto Ya msimu wa 2003-2004 ni Tofauti kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.