Habari za asubuhi ndugu zangu na wapenzi wa mziki wa hipop,nisiku ya 3 Leo ndugu zangu Niko katika majonzi ya taarifa za kukamatwa na kutekwa na kupelekwa kusiko julikana kwa msanii ninaye mpenda...
Pamoja na changamoto za kifedha zinazowakabili lakini bado mnaendelea kupambana kiume kuhakikisha kuwa mnaendelea kubaki katika ligi kuu Tanzania bara. Tunawashukuru kwa roho yenu na moyo wenu wa...
wakuu mimi mpenzi wa masumbwi, lakini mara chache hutokea tukio haswa ikiwa pambano la ngumi likiendelea. unaweza kuona waandaaji wa pambano wanatupa taulo(kitambaa)na hapohapo pambano...
Wanajamvi hili la sport naombaa tuwekanee saawa kuhusu huu umrii wa wachezaji wa serengetii boys .....kweli tanzania kijana wa umri wa miaka 17 anakuwa hiviii..... Jaman hebu 2we wakweli msema...
Salaam wana Jamvi,
Najua wengi wenu mmeshtuka na kustaajabu kwanini nimetamani iwe hivyo. Kwanza kabisa ningependa Ubingwa wa msimu huu uende kwa mtani wangu....si kwa sababu ana uwezo wa kuwa...
Nipo hapa zanzibar town leo, nataka sehemu yenye vinywaji na wanaonesha mpira game za leo.
Wenyeji nisaidieni niende wapi please. Na hii mvua inayoendelea hotelini hata hakukaliki
Kiungo wa Manchester United Jesse Lingard amesaini mkataba mpya na timu yake na atakua akivuna mshahara wa pauni 75,000 kwa wiki na kama watafuzu kushiriki michuano ya klabu bingwa ulaya apata...
Hapa tutakuwa tunazungumza kuhusu timu tishio kwa sasa hivi Uingereza inayocheza ligi kuu ya England
Sio nyingine ni Leicester City
Una chochote kuhusu timu hii Tafadhali tupia hapa
Na ninaomba...
Kwa sasa kiwango cha Brazili kiko juu kabisa na wiki ijayo Brazili itaongoza kwenye viwango vya FIFA vua Ubora na kuishusha Agentina.
Brazil wameishinda mechi 8 mfululizo za kuwania kufuzu kombe...
Nchi yetu ina tatizo la watawala na viongozi kufanya mambo ya maendeleo kwa njia ya kujitoa na kusakiziana badala ya kuungana (teamly) kuyatatua matatizo ya watu. Na kuvutana huwa hakusaidii...
Leo ndo leo asiye na mwana aeleke jiwe, miamba miwili ya soka ya hapa tanzania timu ya Azam na yanga wanapotifuata uwanja wa Taifa.
Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo
Wengi wetu tz tuko familiar na ule mchezo wa kwenye bodi unaoitwa DRAFT ,sasa huu mchezo wa chess,bodi(board) yake imefanana vilevile na draft ila lenyewe halitumii mfumo wa mainroad..
Draft...
Mchezo wa kirafiki kati ya Serengeti Boys (Tanzania) na Black Starlest (Ghana) umemalizika uwanja wa taifa Dar Tanzania 2-2 Ghana.
Dakika ya 90+9 Serengeti Boys wanasawazisha Tanzania 2-2 Ghana...
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa...
Jumanne wiki ijayo baada ya kutoka kwenye mechi dhidi ya kagera sugar ,
Simba sports club itacheza mechi ya kirafiki na timu ya USHIROMBO RANGERS katika uwanja wa kilimahewa,
Sasa wana Yanga hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.