Tarehe 21 Jan, Kimondo iliiandikia TFF barua kuomba pesa zao za FA ili zitumike kusafirisha timu kwenda Ruvuma kucheza na JKT Mlale.
Feb 4, Kamati ya TPLB ikakaa na kuishusha Kimondo FC...
Haya haya tena , wakuu kama tunavyofahamu leo ndio ile fainali tuliyoisubiri kwa muda mrefu .
Karibuni .
.................................
Cameroon wamefanikiwa kuchukua ubingwa na kombe la...
Tupo live uwanja wa taifa hapa kukuletea matangazo ya moja kwa moja ya Moira kati ya Simba Taifa kubwa na Tanzania Prison ya Mbeya
Mpaka sasa Dakika ya 42 mpira ni mkali sana na Simba inaongoza...
Kuna matangazo yanatolewa na wakuu wa wilaya na mikoa kuwa siku ya jumamosi ni siku ya mazoezi, kutakuwa na mchaka mchaka hii yote ni kujenga afya za watanzania.
Kwa Dodoma utaanzia bungeni hadi...
Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira...
Kuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa.
Naomba mliokutana nayo hiyo ni sauti yake ama wametengeneza, wasije mchafua kijana wa watu...
League tight kuwania kushiriki Uefa.. sio ubingwa..
2.Spurs 50
3.Arsenal 50
4.Man city 49
5.Liverpool 49
6.Man united 48
hapo mtu akizubaa tu amekuwa wa sita:):):):)
Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili sola kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la...
Na
Cosmasy Choga
Siku moja baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutaja orodha ya watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya akiwemo mwenyekiti wa yanga Yusuph Manji...
Kama ambavyo UZI huu unasomeka kwenye kichwa cha habari, naomba uwe maalum (stick thread) kwa mashambiki wa mpira wa timu zote za Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kukutana, kwa lengo la kujuzana...
TANZANIA YAZIDI KUPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA
Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa orodha mpya ya ubora wa viwango vya soka Duniani kwa nchi Wanachama , na Vinara wake bado ni Argentina...
Na
Cosmasy Choga
Binadamu huzaliwa na kupitia hatua zaukuaji na hawezi zikwepa,kwanza ni kutambaa na pili ni kusimamia vitu ndipo sasa hutembea kidogokidogo.
Ndivyo ilivyo katika shule...
Watu 17 wameripotiwa kufariki na wengine 60 kujeruhiwa vibaya baada ya mkanyagano kwenye uwanja mmoja wa mpira nchini Angola.
Mkasa huo umetokea katika mji wa kazkazini mwa nchi hiyo Uige na...
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (29) amenunua nyumba ya jirani yake sababu walikuwa wakimsumbua kwa kelele.
=====
Lionel Messi once bought his neighbours' house to keep down the noise...
Yanga kwa sasa inamiliki makocha wanne bora afrika mashariki.Baaada ya uteuzi wa Lwandamila kuwa kocha mkuu wa Yanga klabu hiyo kongwe na maarufu nchini ilimteua aliekuwa kocha wake Hans Pluijm...
Arsenal ni sharti iamini kwamba bado inaweza kushinda ligi ya Uingereza msimu huu licha ya pengo la pointi 12 kati yake na viongozi wa ligi Chelsea ,kulingana na mkufunzi Arsene Wenger.
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.