Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanabodi. Mpaka sasa Arsenal ameshakula 5, ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita. Anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Natafuta dojo la karate lililo karibu au maeneo ya gongolamboto. Naombeni msaada kwa anaejua linapopatikana.
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Kama kawa kama dawa mwana! Leo nawaletea live updates za mechi kati Stand Utd "chama la wana" na Mbeya City "Timu ya kizazi kipya" kutoka uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao, Arsenal au "kwingineko". Wenger, 67, alikuwa akiongea baada ya moja ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpira wa miguu soka unaongoza duniani ikiwemo Tanzania kwa kuwa na mashabiki wengi hadi kwenye ngazi ya vitongoji. Wapenzi wa mpira wa miguu wanapata arosto kama wakishindwa kuziona au kusikiliza...
2 Reactions
2 Replies
827 Views
TRA wamezuia akaunti zote za TFF ikiwamo ile yenye hela za kuendesha Ligi ya Vodacom.. TRA wanadai kulipwa kodi ya mishahara ya waliokuwa makocha wa timu ya Taifa kuanzia kwa Mbrazili Maxio Maximo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Huyu dogo Bradley Lowery shabiki wa Sunderland aliambiwa na madokta kwamba zimebaki siku60 tu afe ambazo zimetimia jana,aliomba kabla hajafa aje shujaa wake mshambuliaji Jermaine Defoe awe nae...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Salaam wakuuu, Dunia haitaishiwa maajabu, Video hapo chini inaonyesha kitu kilichowekwa kwenye goli kinachozuia nyasi kutikisika katika mechi moja inayohusisha timu mbili zinazoshiriki ligi kuu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo ndio ile hatua ya mtoano ya 16 bora inaanza, mechi za Leo ni Benfica Vs Borussia Dortmund PSG Vs Barcelona Mechi za Kesho: Bayern Munich Vs Arsenal Real Madrid Vs Napoli Karibuni kwa...
6 Reactions
91 Replies
12K Views
Jana PSG wameshinda goli 4 kwa 0 dhidi ya barca. Sheria na kanuni za UEFA zinasema timu moja isipoingia uwanjani wapinzani wake wanapewa ushindi wa points 3 na goli 3. Swali je ?PSG wakiamua...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Mapema kesho mabingwa na washindani katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika, watawasili katika uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere majira ya saa nne na nusu asubuhi. Shime nyote mapema kesho...
0 Reactions
7 Replies
992 Views
Unaweza sema nini katika matokeo ya mpira wa leo? Barcelona 0 - 4 PSG dakika ya 85
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Leo kuna mechi kali kati ya arsenal vs bayani Munich ni chaneli gani ambayo inaweza kurusha mechi hiyo katika ving'amuzi vya startimes na azam nipo eneo gumu dstv kupata ni changamoto eneo hili...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
PASS YA IBRAHIM AJIBU vs TZ PRISONS Na prof. Mikazo Jana kulikuwa na mchezo mkali sana wa wa ligi kuu ya vodacom mabingwa wa muda wote wa CECAFA dhidi ya TZ Prison na Simba kuibuka na ushindi...
15 Reactions
57 Replies
7K Views
Ndiyo, Manji anataka kuinunua Yanga na pamekuwa na figisufigisu kibao. Naliangalia timbwili hili la vita ya mihadarati kama mtihani kwa wana Yanga juu ya sifa na maadili ya mteja wao mtarajiwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndiyo hivyo tena,vita hii inayoendelea pamoja na mambo mengine lkn upo mkono wa mtoto wa mstaafu mkubwa wa nchi atakaye bwana Manji aondoke ktk klabu hiyo na tayari alishawashawishi jamaa zake...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Back
Top Bottom