Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu Jamhuri kihwelu "Julio" ana matatizo sana siyo siri alivyokuwa Mwadui alitaka kuishusha daraja timu ya watu kila baada ya mechi hulalama na kupiga kelele "escape goat" alivyoona hali imekuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ulinzi huu vp? Kwa ajili ya kulinda viti visivunjwe au kuna tetesi za kuzuka jambo jingine? Mimi sielewi.
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Kiingilio ni kias gan? Na kadi zinapatikana wapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kesho ndio ile siku ya kwenda ku-enjoy na kuburudika na kubadili mazingira mjini Moshi kwenye KiliMarathon. Binafsi hii itakua mara yangu ya kwanza kushiriki na hapa nimeshapack kila kitu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema nashangaa hili suala
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila nikizipima timu hizi huwa naona ndio kikwazo cha soka letu, naamini timu hizi zimepoteza sifa ya kuwa timu za soka. Zimekuwa zikileta migongano, chuki na hata uhasama nashauri kwa wapenda...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kesho ataungana na mashabiki watakaohudhuria mechi ya Simba na Yanga uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Lowassa amesema kinachomsukuma zaidi kwenda uwanjani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Only in Tanzania, masaa 48 kabla ya mechi ya Simba na Yanga marefarii bado hawajatangzwa na wala hawajulikani, je nini shida? Je nini kinaendelea nyuma ya pazia?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni dk ya 74 uefa champions league,leicester wapo nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya cevilla,nakumbuka week end iliyopita walifungwa na ki timu kidogo Millwall ktk Fa cup,tatizo nini?mabingwa hawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tarehe 25 ya mwezi wa pili mwaka huu wa 2017,Watani wa jadi simba na yanga watakua wakiumana.Maneno mengi ya majigambo ya hapa na pale yamekuepo!.Ni vigumu kutabiri mshindi wa mechi hii kwani wote...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi napenda kushare nanyi website tatu kwa wale mnaopenda ku stream livi mpira mechi zote huwa wanaweka pia NBA . Tatizo sijui kuweka website moja kwa moja ili mtu ukiclick apa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Punde tu,Real Madrid wamechapwa mabao 2-1 na Valencia. Sasa wana mechi moja tu mkononi zaidi ya wapinzani wao wakubwa Barcelona Real Madrid sasa wamecheza mechi 22 huku wakiwazidi Barca alama...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni Jumamosi ya tarehe 3 June 2017 ndiyo siku itakayopigwa fainali ya 25 ya uefa champions league na ya 62 tangu kombe hilo likiitwa Europa Cup.Ni ndani ya Millenium Stadium uliopo mji wa Cardiff...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Kuna Ulazima wa kufanya yote hayo,Nimeona kwenye chombo kimoja cha habari msemaji wa TFF akisema Mwamuzi wa Mechi ya watani wa Jadi Yanga Vs Simba kutotangazwa mapema na pia akitangazwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa haya mambo matatu ( 3 ) ni ishara tosha kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuph Mehboob Manji siku zake za kuelekea katika ' umasikini ' mkubwa sana na kuja kuumbuka mno huko mbele sasa '...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
UCL
Manchester united bhana,Your manager is shouting this is our night in UCL commercials, but he's playing Europa league ...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Habari wanamichezo, Mchezaji mstaafu wa Klabu ya Yanga, Godfrey Bonny amefariki dunia baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Pumzika kwa amani......
7 Reactions
88 Replies
18K Views
Wakuu hivi naweza vp kupata iso files za magem ya mpira ya FIFA au PES ili nicheze kutumia psp emulator kwenye Android yangu?
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hivi naweza vp kupata iso files za magem ya mpira ya FIFA au PES ili nicheze kutumia psp emulator kwenye Android yangu?
1 Reactions
0 Replies
758 Views
Back
Top Bottom