Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa...
Bado ni kocha mzuri na ndio maana simba wanasherehekea mpaka
leo,
anahitaji muda zaidi pia apate muda wa kusajili.
Anayesema Lwandamina hafai hajui Mpira. Nilikuwa na mengi
lakini nimekosa furaha...
Final ya EFL cup leo Kati ya
Southampton vs Manchester
Ndio tutamkaribisha rasmi Jose morinho
Tunategemea Rooney kunyanyua tena ndoo [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460]...
Jose mourinho kuonesha makali yake leo hii katika fainali ya calling cup inayopigwa leo wembley saa moja na nusu saa za africa mashariki mida hiyo wadau tujisogeze kwa runinga
Baada ya ushindi wa jana tuliopata dhidi ya Ndala... ilibidi nirejee katika "makablasha" yangu.. na kuangalia je kuna kizuizi chochote kilichobakia "barabarani"?!
Katika "makablasha" yangu...
''Yanga Afilika'' ikiwa bado ina kumbukumbu za ''kupukuchuliwa'' goli 5 katika Kombe la Mapinduzi imekuwa na bahati mbaya tena wiki hii siku ya Jumamosi ambapo itakutana na kiboko yao Simba Taifa...
Kumekuwa na maneno mengi ya kumbeza mafugoal ambaye mpaka sasa ana mabao 4 kama sikosei. Lakini kiuhalisia ludit mavugo ni mchezaji mzuri mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira.
Tatizo...
Wakuu kesho nina safari ya Zambia. Nina matumaini pasipo na shaka kabisa kesho nitakua nae siti moja au atakua jirani yangu huku tukisoma magazeti kwa mbaali na nikifungua ukurasa wenye sura ya...
TFF napenda niwapongeze kwa maandalizi ya mchezo kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwani mambo mengi yalienda vizuri Isipokuwa napenda niwakumbushe kuhusu swala zima la tiketi kwani kwa...
Michezaji ya Afrika sijui ikoje..ukianza kuwaza sana unapata shida. nakumbuka mechi flan kuna mchezaji wa team moja alikuwa anaamini kuwa anakosa magoli kwa sababu ya Taulo la kufutia jasho...
Ikiwa zimebaki siku 17 kabla ya kufanyika uchaguzi wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF), mpaka sasa wagombea waliojitokeza ni wawili tu ambao ni Bw. Issa Hayatou ( Rais wa sasa wa CAF...
Wandugu wale wa chama langu,huyu Jamaa kama ni mchango alioonyesha ni mkubwa sana kwa Leo,sasa Luna Jamaa walikuwa wanampa hela uwanjani nikafikiria siyo vibaya kwa mechi tumchague mmoja ambaye...
Hivi kesho tiketi za mechi ya Simba vs Yanga zitakuwa zinapatikana pale uwanjani??
Naombeni msaada jamani kama nimechelewa kuchukua tiketi kimuhemuhe kilikuwa kinasumbua.
Mimi kama shabiki wa yanga nimeumia sana timu hii kila mara kuchapwa chapwa na simba.
Lakini pia mwisho wa siku nikatafakari juu ya rangi ya jezi ya yanga nikaifananisha na rangi flani hivi...
Waziri wa habari na michezo ,Nape moses Nauye amesema hayo jana wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kuisaidia timu vijana serengeti boys,"kama ukikasirika kunywa maji au nenda nyumbani,tunaomba...
Mwana wa gwiji wa soka wa Brazil Pele, amejisalimisha kwa maafisa wa magereza kwenda kutumikia kifungo alichohukumiwa kuhusiana na makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya.
Edinho, ambae alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.