“Nimepewa barua asubuhi hii na yanga juu ya mkataba wangu kuwa umesitishwa, kikubwa walichokisema ni kuwa klabu kwa sasa inakabiliwa na ukata hivyo hawana uwezo wa kuendelea kunilipa.
“Kwa sasa...
Kufuatilia Yanayojiri Kwenye Mechi Hiyo: Live Update: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017
Leo nitakuwa live nikiwasafirisha kifikra matukio madogo madogo ya uwanjani tutakaposhuhudia...
M/MWENYEKITI SANGA
Mimi kama mwanachama wa Yanga, na kama mtazania wa kawaida ukimya wako na viongozi wenzako wa Yanga na hata Matawi ya Yanga na mashabiki wake kuhusu Mwenyenyekiti wetu Yusufu...
Ndugu mwanasoka ni vyema tukakubaliana kijana huyu anachokipaji cha kusakata kabumbu na kama akilelewa vyema anaweza kutuwakilisha kama nchi katika nyanja za kataifa
Sote tulishuhudia katika...
Siku zote Simba ikiwa nguvu moja ni hatari sana kwa Yanga. Kilichowasaidia Yanga kipindi cha Nyuma ni mnyukano wa simba FOS na Simba Ukawa. H. Dalali inasemekana amekuwa akifanya juhudi za...
Kitu kinacho niumiza sana kwa sasa Ni mateso anayopata mwenyekiti wetu manji alafu wanayanga Tumekuwa kimya bila kujuzwa hali ya mwenyekiti wetu
Haya Ndiyo Malipo anayositahili kweli kulipwa...
Katika ile hali isiyotarajiwa, team pendwa wenyewe wakiita timu ya wananchi wamekutwa na tetemeko kubwa la kiuchumi kwa kuwa na hali mbaya ya kifedha.
Kutokana na utata huo uongozi wa juu wa timu...
Wachezaji huwa wanakuwa karibu sana kuliko daktari wakati mpira ukiendelea na hili liwe funzo kuwa inapotokea mtu kaanguka wawe wa kwanza kuhakikisha usalama wa mtu huyo kabla ya kudhan...
Ndugu wanajukwaa kama mnavyofahamu ile siku mahsusi ya mechi kali kati ya derby wa Tanzania Simba SC na Yanga SC ni leo. Timu hizi licha ya kuwa ni watani wa jadi na zenye mashabiki wengi kuliko...
Atletico Madrid striker Fernando Torres has been discharged from hospital after having tests on the head injury he suffered in Thursday's 1-1 draw with Deportivo La Coruna.
The 32-year-old spent...
Kipigo cha mabao 4 kwa 0 toka kwa PSG kiliamsha hisia tofauti kwa mashabiki wa Barcelona.Wengi walifedheheshwa sana na kipigo hicho cha aibu.Swalu kubwa limekuja kuhusu uwezo wa kocha wa Barcelona...
Fernando Torres kazimia uwanjani baada ya kuruka kupiga kichwa mpira ndipo alipo dongoka na kutanguliza kichwa na kubana mdomo na kuzimia,tupeane habari zake kwani alitolewa na machela kwenda...
Ikiwa ligi ya imeingia kwenye hatua ya kutafuta bingwa yaani professional league Jana mbwana samata aliendelea kuing'arisha Tanzania baada ya gori safi dakika ya 76 angalia hapo chini hilo goli.
Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .
Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao ...
Wana JF,
Imekuwa gumzo duniani kuhusu mfumo huu wa 3 - 4 - 3. Mfumo huu si mpya bali ulikuwepo na makocha wengi wanauelewa ila huwa hawapendi kuutumia sababu unahitaji kuwa na wachezaji wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.