msemaji wa simba ameandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram "unakumbuka maneno ya huyu dogo alivyotudhalilisha mwambie this is simba na benchi ndio makazi yake ya kudumu"
chanzo...
Kocha wa Barcelona ya Hispain Luis Enrique, ametangaza rasmi kwamba mwishoni mwa msimu huu ataachana na kuifundisha timu hii kwa lengo tu la kuhitaji kupumzika!
Haya aliyasema jana, baada ya...
Kenya’s SportPesa AllStars lost against Select Hull City 2 – 1, thanks to an 11th-minute goal by Elliot Holmes and an own goal by Haron Shakava 66th minute.
look at how the Kenyan fans are...
Nlisema hapo mwanzo yanga walijiweka katika mazingira mabaya sana kwa kuacha kujiandaa kujitegemea na kuanza kumtegemea manji peke yake. Manji amefanywa kama mungu na weng ya wanayanga. Wakasahau...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Kwanza naanza na hii ratiba mbovu waliyoipangia yanga jumapili acheze morogoro ambapo itakuwa tarehe 5 na jumanne acheze dar tarehe 7 tena kwenye mashindano...
Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa.
Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema...
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977...
Kuelekea mechi yao dhidi ya Ndala siku ya jumatano.. msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire.. kanena mazito, namnukuu..
"Si unajua Yanga aliishauwawa na Simba kule poroni, sisi...
Ndugu wana JF, habar zenu? Natumai mko powa!
Nawatafuta wachezaji wa t/tennis almaarifu ping-pong players wote waliowahi kushiriki mashindano ya Ummiseta kuanzia 2010-2015 toka Tanzania bara...
Habarini Wadau,
Hawa malegendari viungo wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani nawakubali sana
Binafsi nashindwa kumchagua mmoja na kukiri kuwa ni bora zaidi ya mwenzie.
Kwa maoni yenu...
Timu ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitoka sare na timu ya Comoros baada ya kuifunga timu hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros. Lakini mechi ya marudiano hapa hapa nyumbani timu hizo...
Mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon yaliyofanyika jana Jumapili mjini hapa, yameacha simanzi baada ya mwanariadha Mkenya, Charles Maroa (36), kufariki dunia baada ya kuanguka ghafla...
Salama jamani?
Mimi mwenzenu ni mshabiki mkubwa wa Yanga na kama mashabiki wengine wa Yanga nafsi yangu huwa inaumia sana timu yangu ikifungwa.
Matokeo ya mechi dhidi ya Simba yameniumiza sana...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA...
Kwanza nianze kabisa kwa kusema kuwa sikuwa na sababu za msingi kuishabikia Simba.
Mara ya kwanza kuwa mshabiki wa Simba ni pale nilipojiunga na shule ya msingi darasa la kwanza. Muda wa...
Ikumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara...
Hatimaye kelele za Yanga wakimataifa leo zimeishia tamati baada ya kukatwa pumzi mapema na wekundu wa msimbazi, Simba. Simba wakicheza wachezaji 10 waliweza kutandika kandanda safi na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.